BLACKZOMBIE: LIFE WASTED "Hi, I am a zombie, a blackzombie. Here are the facts I gathered from a life wasted."Im this kinda zombie with silly feelings,I feel nothing. I spend day and night...
Jaman natafuta mwalimu wa kunifundisha kuongea kispania, maana kuna mtu ananisumbua kila nikimwambia aongee kingereza anasema awezi saa naômba kama kunamwalimu an PM please!
We are freelance translators and native speakers of Swahili language who learned English at tender ages. We have been exposed to both cultures fairly well and we know and understand as well as...
Nisaidieni kujua iwapo neno HAYATI ni sahihi kulitumia kwa kumaanisha neno Marehemu. Kama kusema Hayati Malima au hayati Kambona. Na kama si mahala pake hapo ni wapi neno HAYATI linaweza kutumika...
katika lugha ya Kiingereza, kuna neno lnaandikwa na kutamkwa 'FOOD SECURITY'. katika baadhi ya magazetii, kwa kiswahili neno hili linatafsiriwa kama USALAMA wa CHAKULA
Je, ni kweli tuna maanisha...
Wana JF naomba mnisaidie huwa naangalia KBC TV na katika taarifa zao wanakipindi wanakiita Taarifa za Magatuzi,Nimejaribu kufuatilia ili hata nibahatishe lakini sipati picha.Nini maana ya...
Tangu ujana wangu na kusoma kwangu,sijawahi kujua kirefu cha maneno maarufu Barani Afrika : MAU MAU. MAU MAU lilikuwa jina la vuguvugu za kupigania na kudai Uhuru nchini Kenya katika miaka ya...
The title above is concerned!
Malaya ni nani?
Ni mwanaume au mwanamke?
Je, kila mtu anaweza kumwita mwanamke/mwanaume malaya?
Hata kama hawajawahi kukutana naye kimwili?
Kwa upande wangu huwa...
Wale wanakumbi niliowateremshia kamusi yangu ndogo ya "Istilahi ya Ngamizi" nataka kuwarifu kwamba inaonekana kuwa "laptop" siku hizi neno laki la kiswahili ndilo "ngamizi mpakato". Vizuri kabisa...
Mara nyingi ndani ya vyombo vya usafiri hasa daladala utasikia abiria anatamka shusha kituo fulani ama acha kituo fulani. Ni neno gani hasa linapasa kutumika?
Endelea kujifunza Kiswahili na kama ikiwezekana uwafahamishe wengine yale mazuri unayoyapata unaposoma makala haya. Angalia sentensi zifuatazo:
Alisema mbali na suala la menejimenti lakini pia...
Nauliza wakuu je, lipo neno tofauti la kiswahili la infidelity kwa kuwa katika google translate nimepata kuwa ni ukafiri ila sijaelewa nitafafanua vipi ukafiri kuwa infidelity.naomba mnijuze.
Sio mara moja au mbili bali ni mara kadhaa ninapo sikiliza taarifa au kuangalia runinga kwa ajili ya kupata habari huwa ninawasikia watangazaji wanatamka kwa mfano ...katika ajali hiyo abiria X...