Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habar wana jamvi,naomben msaada wa kimawazo,ushauri,vitendo na hata ikibid kaz kama nitakuwa nimekizi vigezo ingawa kwa sasa nahitaj zaid mafunzo.nimemaliza chuo kikuu ,shahada ya kiswahili...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Wana jamvi Amani iwe kwenu. Mtoto wangu wa darasa la sita aliniuliza swali mwaka mmoja uliopita mpaka sasa sijapata jibu, nakuja kwenu maana kanikumbushia ikabidi nimuombe samahani. Anauliza...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
lipo neno ama msemo ambao hutumika sana siku hizi "KAMA MBWAI IWE MBWAI"je kuna mwenye maana ya hili neno na asili yake
0 Reactions
2 Replies
6K Views
KUMEKUWEPO NA UBISHANI MKUBWA KUHUSU MATUMIZI YA KIINGELEZA KAMA LUGHA YA KUFUNDISHIA BADALA YA KISWAHILI. nini maoni yako? Zingatia 1.kiingeleza kinadaiwa kuchangia matokeo haya mabaya ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kitabu cha Kiswahili 'Bidhaa Adimu: Jiajiri' sasa kimeshachapishwa Dar es Salaam na kitaanza kupatikana madukani hivi karibuni. Ukisoma kitabu hiki wewe mwenyewe utachukua hatua ya kujiajiri au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
msaada tafadhali.shangazi anahitaji msaada wenu.ni hivi:binamu yangu amehitimu 4m 6.amemwambia shangazi yangu kuwa fomu ya mkopo ni 50000 na ya chuo ni 30000 na mwisho wa kulipia ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Matumaini wote ni wazima wa afya. Wakuu napenda kuuliza; nini maana ya neno "Apocalypto?"
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwaka 2013 NOKIA wameboresha kwa kuweka lugha ya kisukuma kwenye simu na mambo yatakuwa kama ifuatavyo:- Phonebook SHITABHO SHA SIMU Names MINA Time MAKANZA Ringtone LUPUNDU Setting MABEGEJO...
10 Reactions
37 Replies
6K Views
Naombeni msaada . Hili neno tafsiri yake kwa kiingereza ni nini ???
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mwandishi maarufu wa riwaya Mzee Adam Shafi akitupatia historia ya maisha yake toka mwanafunzi, kazi ya udobi ilimwezesha kukata tiketi ya meli nia na ndoto kufika Uingereza kwa ajili ya masomo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Azungumzia Watanzania na lugha yao ya Kiswahili na pia umuhimu wa kuzungumza Kiswahili fasaha ili wageni waendelee kutambua Tanzania ndiyo nchi yenye Kiswahili fasaha. Mazungumzo na John Mtembezi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza yaani isiyotegemewe hata kidogo....mtangazaji wa Redio Abood ameruhusu kusikika hewani kupitia redio hiyo methali mpya (kwangu na labda na wengine ambao walikuwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Yaani kitabu au makala ya sheria ya hakimiliki niweze kuyasoma na kuzifahamu hizi sheria Naomba msaada jamani Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kusaga tunajua kitendo cha kuponda kitu kutoka hali yabisi/ugumu (mfano mahindi, mawe, n.k) kwenda katika hali ya unga unga. Tunatumia neno 'usagaji' zaidi kwenye kitendo cha kutengeneza unga wa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
KISWAHILI NI LUGHA NA TUNU YA TAIFA. Nani kasema Kiswahili si lugha imara? Nani anasema Kiswahili si lugha mashuhuri? Na nani ansema kuwa Kiswahili si lugha ya kisomi? Ni jukumu la...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
kusaga tunajua kitendo cha kuponda kitu kutoka hali yabisi/ugumu (mfano mahindi, mawe, n.k) kwenda katika hali ya unga unga. Tunatumia neno 'usagaji' zaidi kwenye kitendo cha kutengeneza unga wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ipo live on ESPN sasa hivi. Ebana hivi vitoto ni kiboko! Vinanifanya mtu mzima nijione sijui kitu kabisa katika medani za tahajia na msamiati wa Kiingereza. Nani mwingine anafuatilia?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaamu wanajamvi Tafadhali naomba kama kuna mdau mwenye soft copy ya kitabu cha Songs of Lawino aipost hapa jamvini. Nawashukuru kwa ushirikiano
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Bila shaka kuna wanachama wa CUF humu ndani. Naomba ufafanuzi wa neno Civic United Front a.k.a CUF kwa kiswahili. Nawasilisha.
0 Reactions
17 Replies
13K Views
Nyegelage na akanyeeto waitu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…