mtu akikuuliza ''haujambo'' unajibu ''sijambo'' ukimaanisha hauna tatizo,je, ukiwa na tatizo utajibu vipi?namaanisha kinyume cha neno sijambo katika salamu.
nimeona watu wengi na vyombo vya habari vinashindwa kumtofautisha lowassa aidha ni mstaafu au aliyejiuzulu. lowassa ni waziri mkuu aliyejiuzulu, na siyo mstaafu kama walivyozoea kumwita. over..
Binafsi natatizwa sana na maneno yafuatayo kama yalivyotumika katika Nadharia ya Udenguzi
Aporia
Tofahirisho
Nitafurahi sana kusikia ufafanuzi wa maneno hayo kutoka kwenu.
....Unataka kumuuliza rafiki yako mzungu ( babake ana wake wawili) : '' Wewe kwa mama yako ni wa ngapi kuzaliwa?"
Nisaidieni kiingereza chake safi cha bila ku ungaunga au kumung'unya ntasemaje?
Siku moja wafanyakazi wa kampuni walifika ofisini ,na walioona tangazo kubwa kwenye mlango limebandikwa
jana mtu ambaye amekuwa akiwazuia nyie msipate mafanikio amekufa.tunawakaribisha katika...
nipo arusha,kunarafiki yangu anatafuta darasa maalum kwa ajili yakujifunza lugha ya kingereza.vyuo vipo vingi sana kwa sasahivi yupo pale jengo la molell alakini hakuridhika na mafunzo...
wa2 tunakufa njaa pesa wanazila
wengne*
ukiongea kwa umma waweza
chinjwa pengne*
wanasema bora u2lie ucje fikishwa
pengne*
naongele utawala wa tz co nchi
nyngne*
unaomilikiwa chama cha mabavu na...
my self am kinshasa born&grow up.by the experience and importance of our fabulous lugha takatifu(swahili)we are on the way to step up a cmnauty radio station in (kin)our efort is to start spreed...
Leo nilikuwa kwenye daladala kutoka magorofani kwenda mwenge, nikakuta kuna mjadala unaouhusu ni lugha ipi nzuri kati ya kiswahili na kiingereza yenye kufikisha ujumbe na mtu akakuelewa vizuri...
Haya maneno hua yananitatiza sana, huenda ni sawa kusema mkono wa KULIA (Chakula) lakini napata shida kusema mguu wa KULIA (kwa asili ya yalikotoka)
wadau tusaidiane hapa mana najua SIKO peke yangu
Ninapenda sana waandishi wetu walioandika vitabu mbalimbali kama: Kufa na Kupona, Je Kisasi, Dimbwi la damu, Tutarudi na roho zetu, Salamu toka Kuzimu na kadhalika. Ninachotaka kuuliza ili munipe...
Anahitajika mtu wa kufanya translation vizuri kutoka kiswahili kwenda kingereza kwa bei poa. Mimi niko Arusha ila hata kama uko Dar es salaam tunaweza kukubaliana