Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
jamani naombeni muni simulie ile riwaya ya mzee beka. Mimi niliishia pale ben amewateka watoto wa mzee beka na mke wa singh, halafu anajua wamemteka jabu pekee. Kumbe na ndugu yake pia ametekwa.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nimeulizwa swali kuhusu muongozo wa jinsi ya kupoata wawakilishi wa wajumbe wa Baraza la Kata katika Katiba Mpya Moja ya masharti ni kwamba lazima uwe na makazi ya kudumu katika kata husika, eti...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Niaje wana jf? kuna tofauti gani kati ya meter na metre?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hili nimepata kuendelea kuliona kupitia ndani ya majukwaa (forums) ya humu JF, na linakua kwa kasi ya ajabu kadiri siku, miezi na miaka inavyojongea. Kuna baadhi ya watu humu utakuta kama...
6 Reactions
55 Replies
5K Views
Helow frnds,Iam so anxious on knowing dis language,and i c my self as iam not fluently on it both speakn n writn,so may u direct good place dat use to teach dis language dat wil mak m 2b...
0 Reactions
3 Replies
936 Views
Unaweza kuwa ni miongoni mwa watu wanaokichukulia poa Kiswahili na kudhani kuwa kujua Kiingereza ndio dili! Muulize Jose Chameleone jinsi Kiswahili kilivyobadilisha maisha yake. Kupitia...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Hi wana JF, Naomba kueleweshwa kuna tofauti gani kati ya neno kuona, kuangalia, na kutazama ?
0 Reactions
4 Replies
12K Views
chundabadi na katalelo nisaidieni kujua maana zake
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hapo zamani palikuwagepo na simba aliyejulikana kama mfalme wa wanyama wote porini. Siku moja aliamua kumtembelea Sungura aliye julikana kuwa mwerevu na mjanja sana kule porini. Basi, simba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hv nikitaka kusema 'nimefiwa na bibi' kwa lugha ya kiingereza nasemaje? kuna jamaa kaniambia 'i was deaded by grandma'
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Yaani. Abcdef............yz The quick brown fox jumps over the lazy dog
9 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwanini kiswahili hakipendwi..na waTz?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna ubaya gani wa lugha yetu tuliozaliwa nayo isiwe ya kutungiwa mitihani ya Taifa?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WIZARA ZIMEWASHINDA…! Waziri Mkuu Pinda, metuacha na kololo! Aonesha bado ‘kinda’, bado ‘amelala dolo’! Kuongoza amepinda, liko wapi atendalo? Wizara zimewashinda… Ninakuomba “Mkubwa”...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, nimekuwa najifundisha kifaransa mimi mwenye kwa kutumia online videos training, niko katika atua za mwanzo. Naitaji marafiki ambao wanajua kifaransa, ili niweze kua naongea nao...
0 Reactions
28 Replies
10K Views
Mastar wengi wa kitanzania wakikosolewa huwa wana tabia kuwa-brand waliowakosea kuwa ni "HATERS." Hater siyo neno rasmi la kiingereza bali ni neno la mitaani tu likiwa coined siku za hivi karibuni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Well son, I’ll tell you: Life for me ain’t been no crystal stair. It’s had tacks in it, And splinters, And boards torn up, And places with no carpet on the floor – Bare. But all the time...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
huwa nashindwa kabisa ni namna gani na mahali gani kuyatumia maneno haya, "ONYESHA" na "ONESHA" kwani huwa yanawachanganya sana watu. Mfano mtu anasema "Juma ametuonesha mpira na mwingine anasema...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Nimeanza kujifunza kifaransa, naomba msaada wa kupata soft copy ya kamusi ya kifaransa-kingereza-kifaransa. Je serai tres reconnaissant
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niwetu, tumewatoa, Maungoni, Ni wetu, tumewaleta, Ulimwenguni, Ni wetu, tumewalea, duniani, Ni wetu tumewabinafsisha. Ni huria, tumewaacha, Sokoni Ni huria, tuwachuuzia, hadharani, Ni...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…