TENDE:
Tende hii maalumu yenye utamu Wa shani, Tende hii tafauti nazile zamadukani, Tende hii si adimu imejaa mitaani, wazee hadi vijana wote wanaithamini, kwayule alojaaliwa anaimiliki ndani...
Hivi ni nani anadai kuwa kiswahili ni RAHISI?Kiswahili ni moja ya lugha ngumu zaidi ninayoifahamu.
Kama unabisha na hutaki kukubaliana na Bazazi;
Hebu jaza sehemu zilizoachwa wazi kwa kutumia...
Hivi neno baka(T) linahusiana kibaka?na kama ndio mtu akibakwa anaweza sema amebakwa na kibaka?na mtu akiporwa kitu na kibaka atakuwa amebakwa na kibaka.?na yule mbakaji kwa nini hatumuiti...
Nataman kujua kilugha changu cha kinyakyusa jaman,the bad thing is naskia tu kuitikia sasa kimbembe..sina bibi,babu nor aunties wakunifundisha basi naishia kudakia hicho hicho cha baba na mama...
Wakuu ni muda sasa tokea niache kutunga na kusoma mashairi ila naamini hiki ni kipaji ndani yangu naomba wote wenye uwezo wa kutunga na kuimba mashairi tujitokeze hapa kuweka mashairi yetu ili...
Jana usiku nilikuwa naangalia taarifa ya habari star tv,ambapo kulikuwa na habari ya mtoto michael lazaro ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi nyegezi b(mwanza) akimtafuta baba yake mzazi...
Just down the memory lane nimekumbuka terminologies hizi tulizojifunza enzi zile za TANU & ASP na baadaye mwanzoni kabisa mwa CCM. Sijui kama bado zipo na kama zipo zina maana zenye nguvu kama za...
BARAZA LA KISWAHILI LIMETANGAZA NA KUTOA UFAFANUZI JUU YA MATUMIZI YA kingamuzi na dijitali...
Maana
Decoder ni kisimbuzi na sio kingamuzi kama ilivyozoeleka kwa wengi
dijitali ni dijiti au a-...
kama kawaida kwetu wahaya tena nawaletea jina la mwaka mpya 2013 WEBANGE
alwekyo twaija kuluga omuli WECHONCHE twechonsile muno twamala mbwenu twagya omuli WEBANGE
KWAMBA ; SIMAMA IMARA...
Jamani kwetu sie waja leo waondoka leo twasema MKAZA MJOMBA.Nimehamia hapa Dar neno hili silitamki eti ni matusi kwa sababu ya neno 'KAZA'
Napenda kueleza kuwa neno Mka maana yake mke wa na kwa...
Naomba msaada kwa wataalaamu wa Kiswahili,
Ni kwamba hawa jamaa wa ndege zenye kutoza nauli ya mabasi (sina uhakika sijathibitisha hilo) yaani Fast jet wana mabango yao yanayosomeka "Hembu...
Kila nikisoma maoni ya wanangu kwenye uga huu nakutana na maneno mawili yanayonipa shida. Maneno haya ni dushelele na magamushi. Wenye kujua maana yake nipe elimu baba yenu maana ni muda mrefu...
Jamanii wadau ama kweli lugha ya kiswahili kila kunapokucha inazidi kukua na kuongeza msamiati.je wajua kuwa 'laptop' inaitwa ngamizi paja? Nisaidieni wadau msamiati wa kiswahili unaooshiria...