Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari zenu? Nmekutana na baadhi ya watu wakitamka haya maneno... 1-Msa=Musa. 2- Mk*ndu=Mwekundu. 3- Mwananke= Mwanamke. 4- Leli=Reli. 5- Reri= Reli. 6-...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia matangazo ya TBC1 wamekuwa wapenzi sana wa wa kutumia neno habari mpasuko. Sijui wamepata wapi kiswahili hiki? Nionavyo kuna makosa. Ilipaswa watumie 'Habari motomoto'...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Wana jf, naomba mnisaidie ufafanuzi wa neno KARAMU na KALAMU. Kwa kweli maneno haya yananichanganya sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna Waziri wa Wanawake, Jinsia na Watoto. Je, wanawake ni nini na jinsia ni nini na je, watoto hawana jinsia?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu members, Jamani naomba mtu anisaidie tafsiri ya hili neno MASABULI, linaonekana ni neno maarufu sana kwenye uwanja huu. huwa ninaposoma comments za watu hasa kama mtu hajaridhika au...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Namba nawe mlimwengu, pulikiza matamko Nikweleze neno langu, uzinduwe bongo lako Nayo nda M'ngu si yangu, na ayani haya yako Uwatapo haki yako...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hili neo huwa lina sehemu mbili ambazo huwa linatumika..lakini..likiwa na maana mbili tofauti....nzuri au mbaya ni kwamba tumefundishwa mashuleni...utata naupata kwenye hizi sentensi ...neno...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Hivi ukitaka kumuuliza mama yako kuwa wewe ni mtoto wake wa ngapi kuzaliwa kwa kiingeleza utamuulizaje?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba mwenye kujua anifahamishe asili na maana ya maneno haya: GADO, RURA, GUMEGUME, KIKWEKWEREKE na TIBWILI/TIMBWILI. Asanteni!
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Ukiangalia Filamu nyingi za Bongo matumizi sahihi na anuai ya Lugha ya Kiswahili hayapo. Tatizo hili linaweza kutokana na Filamu hizi kutokutumia andiko la Filamu "Script" na badala yake wanatumia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kuna msemo usemao "Mchamaago hanyele huenda akwiya tena" Msemo huu wa kiswahili unatumika tokaenzi ya mababu namababu lakini wengi wetu hatujui maana ya maneno yaliyotumika. Nawaombeni wakuu...
0 Reactions
11 Replies
13K Views
Kuna matumizi yasiyo halali ya neno bore ktk lugha kiswahili.Ikumbukwe kwamba neno hilo ni la kiingereza likimaanisha a-kuchosha.cha ajabu ni kuwa neno hilo linaambishwa kwa kuongezewa kiambishi...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Kuna gogo la muanga, njiani limeanguka Waja mafundi kuchonga, kibanzi kutobanjika Watu wavunjika nyonga, kwa kupanda na kushuka Kila ajaye na shoka, katu hawi seremala Waja wenye mbinu zao...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
by Mwenda Mukuthuria, Ph.D. mukuthuriaig@yahoo.com Egerton University, Njoro, Kenya. The Islamic Religion Before exploring the role played by Islam in the development of Kiswahili, it...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nisaidieni wataalam wa lugha yetu kutamka herufi hizo kwa kiswahili...nakumbuka shuleni tulifundishwa ila sasa nimeshasahau kwasababu sijasikia wengine wakitumia. Ninazozikumbuka tulizofundishwa...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
CHACHANDU ZA UCHACHIZI 1301 2006Chachandu iliyochacha, si chachandu chachizi, Huuchachuza mchicha,na kuchachiza mchuzi, Huchuruza kwe'pakacha,churuzo ya uchirizi, HUCHACHIZIA MCHUZI, CHACHANDU...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Kiswahili cha Air Condition ni nini? Maana nishajiuliza ni kileta baridi au?
0 Reactions
7 Replies
15K Views
Jamani watangazaji wetu kuna tofauti ya kimatamshi kati ya vifupi vya maneno vilivyoandikwa kwa kutenganishwa na nukta na vile visivyotenganishwa na nukta. Mbona mnasoma bila kujali kama kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau wa lugha natatizwa na kitumbua kinachomwa, kaangwa, au pikwa? Huku uswaz tunachoma vitumbua.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
jamani wana lugha ya kiingereza msaada je ukitaka kumwambia mtu ngozi inawasha unasemaje kwa kiingreza neno ninalohitaji sana ni hili "washa" or kuwasha kwa ngozi au mwili hope to receive...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…