Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Msamiati huu nimeupata leo ukiwa na maana refresh. Nimeipenda sana hii, naomba tujulishane misamiati mingine ya Kiswahili
2 Reactions
11 Replies
9K Views
Juzi nilikuwa nasoma article moja nikakutana na msemo wa kiarabu....... Al funuuni majuununi..... Maana yake kila mwendawazimu ana fani yake... Imenifanya niwe nina kiu ya kujua zaidi...
0 Reactions
5 Replies
50K Views
1. Simu yangu imeibiwa 2. Nimeibiwa simu yangu. 3. Simu yangu imeibwa.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasalaamu, Naomba kujuzwa wanaJF, ni wapi wanafundisha kozi ya kuongea na kuandika lugha ya kichina?? 1. Iwe Dodoma, 2. Iwe kozi ya jioni 3. Ada iwekwe wazi Mtu binafsi wa kufundisha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
ukisoma kwenye magazeti au majarida utaona waandishi wanatofautina kuelezea hili sentensi,sentensi ipi ni sahihi hapa chini? 1. Shirika la benki la taifa. 2. Shirika la taifa la benki
0 Reactions
5 Replies
3K Views
salam salam wataalam wa lugha. Napenda kuuliza swali,je ni sahihi kusema kwa mfano nipo UCC nachukua diploma ya IT au nipo UCC nasomea diploma ya IT. kipi sahih kuchkua au kusomea? Asante wakuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NAPENDA KUWASAHIHISHA WOTE WALE WAOPENDA KUSEMA 'KITUO CHA KATI CHA POLISI' KUWA SI SAHIHI, INATAKIWA KUSEMA 'KITUO KIKUU CHA POLISI'. WASIBABAIKE NA KUTOHOA NENO 'CENTRAL' KWA MAANA YA KATI...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
mazoea yanaweza kufanya maneno fulani yaonekane kuwa yanatumika kwa usahihi, lakini ukweli ni kinyume chake. mfano haya yafuatayo" 1. siyo, sahihi ni sio 2. ndiyo, sahihi ni ndio 3. ndio yeye...
1 Reactions
41 Replies
22K Views
Wadau naomba kufahamu Maana ya neno 'ULAFI?'
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Usimwambie Mtu utakachosikia humu:
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Allan Hope a.k.a Ras Mutabaruka(jam) Mrisho Mpoto a.k.a Mjomba. Kwa kifupi hawa jamaa ni waghani na watambaji wa mashairi ya kimafunzo. Japo sina hakika kama wote ni Rastafarians kiimani, nina...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Watu wengi hurejea mikoa mingine ya Tanzania kama "mikoani", mathalani, mabasi yaendayo mikoani. Nadhani hii siyo lugha sahihi kwa sababu ina maanisha Dar es salaam ni Taifani. Unaposema mikoani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
BARAZA la Kiswahili la Tanzania (BAKITA) limewakumbusha wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia Kiswahili pekee badala ya kuchanganya na Kiingereza kwani linawafanya wananchi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi karibuni nimekuwa nikifuatilia tamthilia mwanana ya India a Love Story kikautana na neno "chai" likitumika sana nikagundua kumbe hata sie waswahili tumetohoa toka kwa wenzetu wa India... Soma...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Jana nimesikia mtu akisema maji ya kumwagilia yamepelea, kuingia kwenye daladala nako mtu anamsimulia mwenzie kuwa alishindwa kununua kitu hela ilipelea. Sasa hapa nawiwa na maneno ya kueleza ni...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimekuwa napata shida watu wanaporipoti ajali.....Je ni,Watu wamekufa katika ajali au watu wameuwawa kwenye ajali...msaada samahani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wataalamu wa lugha naomba mnijulishe kinyume cha neno "Asante" au "Thanks" kwa kingereza. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
17 Replies
47K Views
POWA maana yake nini?
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Wakuu Mambo VP Naomba mnidadavulie hayo maneno Asante
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa mara nyingi sasa nimekuwa nikiona watu wanaandika neno hili 'kuonesha'. Wakati mimi nasoma, na nimekuwa nikiandika pia kwa muda mrefu kwa lugha ya Kiswahili, nimekuwa nikitumia ' kuonyesha'...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…