Mfano China inatumia lugha yake kwenye elimu za juu na maofisini hata kwenye usaili wanatumia lugha yao tofauti na sisi Tanzania kiswahili kwenye usaili(interview) ukiongea kiswahili badala...
PANDE ZA TABU NA RAHA
1 Dunia tunayoishi,nayo ina mengi mambo
Shida huwa haziishi, mawio msalagambo
Tuishini kwa ucheshi,hilo ndio kubwa jambo
Na imejazwa dunia, pande za tabu na raha
2 Lililo...
Binti kurudi shule
Bado nalitafakari, hatima ya jambo hili
Nawaza na kufikiri, matamko mbalimbali
Jambo hili ni hatari, siasa tuweke mbali
Binti kujifungua, arudi shuleni tena.
Mimi...
Hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa maneno na maana zake. Ni katika kukuza lugha ya kiswahili nami nimekutana na maneno kadhaa hapa naomba tuendelee kushea ili kufahamu mengi zaidi kadri...
Salaam!
Naombeni kujuzwa ni sehemu gani kwa hapa Dar es Salaam wanatoa huduma ya kufundisha kispanyola. Naombeni mchanganuo wao mfano Ada zake, contacts zao nk..
Asanteni
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa...
Jambo lakimaskini na kifukara la wanasiasa hafifu kifikra nikufikia hatua yakusifia lugha.
Nilichukizwa na Kiswahili kutumika kisiasa awamu ya Tano na watu wenye madaraka kuacha kushughulika na...
Wanalugha naomba kujua ikiwa neno hili Kupiga haliwezi kupata usaidizi au lipo neno lingine lifaalo kwa ajili ya kusaidia neno hilo. Utasikia
Kupiga deki,
kupiga mswaki,
kupiga kura,
kupiga...
Nimeanza kea kuuliza swali kwa maana namaanisha wakati wa kuongea Kiswahili kila mtu anarafudhi yake. Kwa mfano mwingine huongea Kiswahili kwa lafudhi ya Kichaga hadi unajua 'huyu ni mchaga'...
Eti reviews laws. Khaa!!
Edition yenu ya 19th Jan 2022.
Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo.
Usahihi hapo ni 'Ministry review laws on community development'
Kama wangetaka...
Habari za wakati huu,
Nimekuwa nikisoma nyuzi mbali mbali humu Jamii Forums na nimefurahishwa nazo. Ila sifurahishwi na hii tabia ya mtu kupachika mstari wa kiingereza eti ndo kuonesha Msisitizo...
Habari ya wakati huu
Naomba kuuliza maana hiki kitu kinanichanganya sana. Sijui kichwa changu ndio kigumu.
~Ni Yesu Kristu au Yesu kristo
~Je, dini ni Mkristu au Mkristo
Naombeni majibu...