Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari wadau wa Jukwaa la lugha, Kuna neno nimekuwa nikilisikia kwenye baadhi ya mistari ya nyimbo za bongo fleva,Neno lenyewe ni "Sitoi boko". Nimejaribu kuunganisha nucta kutokana na Jina la...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hey folks, um just fun of de Jamaican ligua but woow nowhere to learn! Please lets share me fi shoo wuda like to know how dis fellas put deia English unique
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Naitwa astredy lyimo nimzawa wa mbeya ila niliambiwa baba yangu ni mchaga natamani kujua kichaga hata maneno 10 nisaidieni wana jf
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wazee wa lugha, unapoulizwa 'hujambo' huwa unajibu 'sijambo'. Hiyo inamaanisha upo mzima hakuna tatizo. Vipi kama kuna tatizo? Kuna kinyume cha sijambo? Neno lenyewe naliona kama lipo kwa...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Inasikitisha saaana kila kukikucha anatokea mtu na kujiita mimi ni nabii flani. Je hao wanafahamu maana halisi ya nabii?Au wanakurupuka tu? Wengine wanahubiri na kuihalalisha pombe kanisani huku...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
1)Washairi kulumbana,ni nani alianzisha ? Washairi kugombana,lini tutatamatisha washairi kuchukyana,jambo hili linatisha Vya maneno vinachosha,vi vita vya washairi. 2)Washairi...
1 Reactions
0 Replies
752 Views
Nimejaribu kukutana na washairi wengi ila wengi wao ni waislamu ingawa na wakristo wapo lakini pana mahusiano gani kati ya uislamu na ushairi ?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jifunze nami kingereza kwa kiswahili kwa bei cheee, kwa mwezi. Masomo ni online na ni kwa miezi miwili 2,Tunasoma kwa video, pich, audio no kupitia WhatsApp peke,Nipigie sasa na utokwe na aibu ya...
2 Reactions
32 Replies
11K Views
Heri ya mwaka mpya wana jf. .. Msaada napenda kujifunza kuongea kiingereza . ni hatua gani nifanye ili niweze kukijua
1 Reactions
13 Replies
4K Views
1)Kule mambo siyo tena,ukweli niusemeni Kule watu wananuna,nyie huku bananeni Kule mvua hakuna,jua kali utosini Nipokeeni mjini,jembe nimeacha shamba. 2)Kule kilimo ni bure,soko lake hatuoni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sanaa ya ushairi kwa zama za sasa ni sanaa ambayo licha ya muitikio kuwa mdogo kwa jamii yetu lakini bado watu wengi wanazidi kujikita katika kuikuza na kuendeza sanaa hiyo kwa ajili ya kizazi cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asubuhi hii nimemsikia mwendesha kipindi LULU ZA KISWAHILI,TBC akisema kama we in Mswahili,hujui Kiingereza huwezi kuota kwa Kiingereza! Naomba kutofautiana naye: Mimi naongea Kiingereza kwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Asili ya neno "salary" (mshahara) linatokana na neno la Kilatini "sal' ama 'salarium' lililomaanisha "salt" (chumvi), zamani wakati wa Milki ya Warumi (Roman Empire) wanajeshi wa Kirumi walikuwa...
6 Reactions
7 Replies
4K Views
hivi hapa kuna Ma gwiji wa lugha aina aina. Mbona alie kwama asiombe usaidizi? Hivi nina Maneno ya kiingereza naomba utafsiri ila thread Hii ni ya wote wanaotaka kupata tafsiri ya Maneno Yao kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1)Penzi ni kama bahati,kama vyema tukipanga penzi ni kama kabati,kwa ustadi ukijenga upendo ni mikakati,kwa shabaha ukilenga umenishinda tabia,nabaki kuvumilia 2)Kimya kimya nakwambia,acha...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Labda kwa kuwa kiswahili kimekuwa lugha ya mazoea katika midomo yetu lakini pamoja na hayo haimaanishi tukiache. ukitazama kwa sasa wengi wanaamini kuwa kujua kuzungumza kingereza ndio kuelimika...
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Habari gani jamani. Mimi ni mmarekani aliyeishi Tanzania miaka miwili kuanzia 2014 mpaka 2016. Nimejiunganisha na jamii forums hivi karibuni tu lakini... Samahani nimechelewa. Basi... Wakati...
18 Reactions
109 Replies
11K Views
Tafsiri sentensi hizi za 'tenses' kwenda kiingereza ujishindie Kitabu chetu cha JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI. Ni mojawapo ya vitabu vilivyovunja rekodi ya mauzo ndani ya muda mfupi sokoni. 1...
0 Reactions
48 Replies
8K Views
Kikawaida MFU ni mtu aliekufa (kwa lugha ya kuonyesha hadhi ya kiumbe) ambae anaweza akawa katika hali mbili. moja akiwa hai na ya pili akiwa maiti. katika ile hali ya kuwa maiti,mfu anakuwa ni...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Leo nimekutana na kijana, wakati tunaongea ameniambia maneno ambayo Kwa kweli sikumuelewa eti "Mzee Baba" maana yake nini?
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…