Mist
Ever imagine having eyes
But you can’t not see
Trying so hard and not making a step
Imperfections,rejections and being ignored for every step of your way
Wanting the love you can not...
Nakumbuka nilikuwa darasa la nne, miaka kadhaa iliyopita, Mwalimu wetu wa Kiswahili ambaye alikuwa jinsia ya Kike,alituambia kuwa kila Mwanafunzi ataje Methali anayoijua au Kujifunza, na Unasema...
Kiswahili kinazidi kuchungulia kaburi kila siku
Kuna mijitu hasa hii ya mjini hasa hasa wadada wanapenda sana kutumia haya maneno ,MTU unamtumia meseji anaishia kujibu P,Mara K,Mara PW
Mtu...
SKUNK: any of various common omnivorous black-and-white New World mammals (especially genus Mephitis) of the weasel family that have a pair of perineal glands from which a secretion of pungent...
Heshima kwenu wakuu, kama mjuavyo leo ni siku maalumu, na katika hizi siku maalumu huwa 90% tunatumia wali ule mchafu almaarufu(pilau) sasa nataka nimualike rafiki yangu mzungu ila sijui pilau...
Lugha ya Kiswahili ni lugha maarufu sana katika ukanda wa Afrika ya mashariki hasa nchini Tanzania ambako asilimi kubwa ya watu wake wanakizungumza Kiswahili katika maelewano mazuri licha ya...
Rafkiangu(yeye hana access na jamii forum) mmoja alikuwa katika majibizano makali na mpenzi wake,mwanamke ni mnyaturu, yeye ni mhehe ss katika moja ya Meseji,akatumiwa message imeambatana na...
Japo misemo hii ilikuwa hatari kusikika katika masikio ya watu lakini pia baadhi yao waliumia kuisikia na wengine hawakutaka hata misemo hii itamkwe.
1)xxxxxxxx =msemo huu ulianzia ktk nyumba...
Katika pitapita ya kujisomea nimekutana na neno Afande ambapo nimesituka sana na maana ya pili ya neno hilo, hii inatokana na Tabia yangu kupenda kuitana na rafiki zangu "afande" hapa nimejifunza...
Wako baadhi ya watu wanaodhani kuwa kuzungumza lugha ya kingereza ni lazima uwe na elimu,hali ambayo huchukuliwa tofauti kabisa na wakazi wa Arusha.
Ikumbukwe kwamba Arusha ni mkoa wa kitalii na...
Habarini Wadau,
Naomba mnijuze tofauti ya kimaana kwa hizo sehemu nilizoziainisha.
Kwa kimombo, tafsiri niijuayo ni hii:-
¤ Ufukwe : Beach
¤ Pwani : Coast
¤ Mwambao : ?
Utaweza kusikia...
Kwa muda mrefu nimekutana na makosa ya utumiaji wa neno you're na your ,watu wengi hawajui matumizi ya neno you're na your hivyo kuchanganya na kuondoa maana ya kusudio
80% ya watumiaji wa...
Naomba Jibu wadau,Ukichunguza lugha hii kwa wasomi wengi ni ngumu katika swala la mawasiliano hasa inapokuja wakati anatakiwa kueleza jambo?na ingawa Wamefanya vizuri katika mitihqni kupitia lugha hii
Wakuu. Najitolea kufundisha lugha ya alama kwa matumizi mbali mbali especially mawasiliano yawe ya wazi au siri, lugha ninayolenga kufundisha ni ile ya kutumia body language na sign language. Njoo...