Mahitaji
Nyama kilo moja
Tangawizi na thomu viwe vimesagwa kila kimoja ujazo wa nusu kijiko cha chai
Kitunguu maji kimoja kikubwa kikatwe katwe
Nyanya maji kubwa tano
Limao kiasi
Mchuzi mix...
Napenda kuwasalimu ndugu zangu wa JF.
Nimekuwa nikipika maharage lakini nashindwa kuyafanya yawe matamu ila akipika mwingine naona ni matamu.
Nashindwa pia kujua kubalance mchuzi ninapounga...
Wadau naomba tushare sehemu nzuri kwa hapa Dar ambazo zinawapishi wazuri wa kitimoto tuweze kuwa tuna badili viwanja.
Majina ya sehem na location itapendeza zaidi.
--------
Pitia link hizi...
Wakuu JF ndio kila kitu, kabla ya kukurupuka kwenda shopping ni vyema ukipata muongozo JF.
Nimenunuwa Mara mbili majiko makubwa West Point yenye plate mbili gase na plate mbili umeme chini oven...
Wakuu mambo vipi?
Nina likizo ya week 3 kazini. Nitakua ghetto muda wote huo. Sa nitakua napika pika maana kununua gharama sana.
Sasa nimekutana na kitu kinaitwa Slow Cooker, je ndio hiyo hiyo...
Mbeya kuna mboga inaitwa nguniani, ni majani ya maharage, yakiungwa karanga ni matamu sana kwa ugali.
Pia kuna matunda kama masasati, makusu, mbula, numbu mapohora, mang'an'ga, bila kusahau...
Kwema watu wa ulimwengu?
Wapi nitapata buffee kwa Mwanza na Dar mahali ambako nitaenda kulipa pesa na kula ninavyotaka? Namaanisha nikishalipa naruhusiwa kula chochote isipokua kubeba tu.
NB...
Habarini!!
Kama Kuna kitu kimekuwa kinanitatiza maishani basi ni namna ya kupangilia mchanganyiko wa makundi mbali mbali ya vyakula ili kupata mlo kamili.
Ombi langu kwa anayejua mlo kamili ni...
Napenda samaki wabichi ila changamoto ni kuwakaanga jamani.
Mimi huwa naweka ngano, nachanganya ngano na maji nachovya samaki wabichi kisha nakaanga. Wanatoka vizuri sana na wanakuwa watamu mno...
Mko poa? Kama ndio jambo jema na Nafurahi kwa ajili yenu wote kuwa na afya.
Imekuwa ni kawaida kama sheria kwa familia nyingi za hapa kwetu Tanzania ikiwa ni siku za sikukuu chaula ni pilau...
Coconut jum drop...
Mahitaji
~ 150g
~ 1/2 cup Icing sugar
~ Yai Moja
~ Vanilla / au ladha yeyote kijiko kimoja
~ 1 na 1/4 cup unga ( self rising flour)
~ raspberry jum
~ 1 cup Nazi kavu...
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass.
Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo...
Mahitaji
Ufuta kg2
Sukari 1/2
Jinsi ya kutengeneza
Chukua ufuta peta na toa takataka zote
Kisha tia ndani ya sufuria weka maji osha na chekecha michanga kama unavyo chekecha mchele kutoa...
Ratiba ya Ramadhani, tushirikishane kwa pamoja, yangu imekaa hivyo,
Day1:
Tende
Shurba
Chapati
Maharagwe ya nazi
Samaki wa kukaangaa
Day2:
Kaimati
viazi karai
Chapati na Mbaazi
Fruit...
Nimekula kuku wa KFC jana, kwakweli nilikuwa dissapointed mno, ile hype yote niliyokua naisikia haikuwa na ukweli upande wangu.
Kuku hana ladha ni mafuta tu. Angalau chipsi zao ndo zina ladha. Au...
MAHITAJI
1. Mayai matatu makubwa
2. Maji ya uvuguvugu vijiko viwili vya chakula
3. Pilipili manga nyeupe ya unga kidogo
4. Chumvi kidogo
5. Siagi
6. Mafuta ya kupikia
MAPISHI
1. Pasua mayai tia...