Wakuu habarini za Mida,
Nahitaji msaada kwa wale wataalamu wa kuchoma nyama ya mbuzi huwa inakua lain na yenye ladha. Naombeni tupeane maujuzi jinsi ya kuchoma na aina ya viungo vya kutumia...
Mahitaji
1)nyama/kuku
2)mchele kg 1
3)vitunguu maji 3 vikubwa
4)vitunguu thomu 1 kidogo
5)pilipili manga kidogo
6)uzile 1(bizari ya pilau) tbsp
7)mdalasini kijiti 5 vikubwa au kama ni wa unga 1...
Habar zenu wapendwa...!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa namna ya kuandaa pamoja na kuchoma nyama ya ng'ombe, na wastan wa watu wanne.
Asante
1.Kuoka ni sayansi hivyo ni muhimu Sana kuzingatia vipimo,hakikisha unapima kwa usahihi kila hitaji lako usiongeze wala kupunguza hitaji muhimu hasa unapojaribu kwa Mara ya kwanza.
2.Hakikisha...
Kuanza kula mlo kamili ni bora na ni kazi sana, wengi wetu tunashindwa kutokana na miundo ya Familia zetu tumezoa tukiamka asubuhi ni viporo, vitumbua nk, mchana ugali na usiku wali. Hii...
Matembele ni mboga maarufu sana, pia ni mboga yenye virutubisho sana,
Lakini matembele yana faida nyingi katika miili yetu.
FAIDA ZA MBOGA YA MATEMBELE KWA UFUPI
1: Matembele yana madini ya...
Salaam,
Kiukweli tangu nianze kula ndizi zilizokaangwa sijawahi kuona ladha yake.
Je, huenda ninapokula ndo hawajui kuandaa ndizi za kukaanga au mdomo wangu na ulimu ndo umegoma kuhisi ladha ya...
Wataalamu, watumiaji na mafundi.
Nahitaji kuelewa kati ya jiko (oven/cooker) la GESI au UMEME lipi ni zuri kwa matumizi ya nyumbani?
Mfano wa cooker/oven
Liwe la gesi lote, yaani juu na ndani...
Kuna baadh ya watu hutumia sana magadi kuweka kwenye makande, maharage, ndizi yaani karibia kila chakula. Pls mwenye kujua anijuze faida zake na hasara ktk mwili wa binadam.
Recently years kumekuwa na huu mchanganyiko wa mboga Kuku na mnafu/ mnavu kwenye maeneo ya kula. binafsi mimi siipendi hii mboga ya mnafu na imenipelekea kuuliza swali kwamba imekwaje kuku...
"Hata Nguruwe huwa ana swih mbele ya njaa ya kufa"
Hii kauli niliwahi kumsikia Fid Q kwenye moja ya nyimbo zake, kitambo kidogo.
Muda huo nakula ugali wa kengele, yani dereva wa sahani break...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri mtaitikia wenyewe huko
Kila mtu kuna baadhi ya vyakula hawezi kuvila kwa sababu kama za magonjwa au kutokuvipenda.
Mimi binafsi siwezi kula vyakula vifuatavyo...
Jamani nataka kujua ni jinsi gan ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi wa Dar es Salaam na zinakaa kwa muda gani, nimeuliza sana ila sijapata jibu naamini leo nitapata majibu...
Mbute ni chakula kinachotokana na zao la muhogo ambao humenywa na kuvundikwa kwa maji halafu huchemshwa.
Chakula hicho huwa kitamu kupita muhogo uliopikwa.
Maandalizi ya mbute
Mbute hutokana na...
Wadau habari zenu?
Naomba kama kuna mtu anafahamu namna ya kutengeneza hizi mbegu mnazoziona katika picha anifundishe.
Hapo kuna Mbegu za Maboga, Mbegu za Ngano isiyokobolewa, na Zabibu kavu...
Ni chakula kizuri sana kutumia kama kifungua kinywa (breakfast) cha mtoto kwa sababu kina kiasi kikubwa sana cha virutubisho.
Chakula hiki kitamfanya mtoto wako awe na siku nzuri yenye...