Watu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna...
Habari!
Twende moja kwa moja kama mada husika. Napenda sana kupika mapishi mbalimbali kulingana na mazingira niliyopo na nini nahitaji.
Sasa wapishi wenzanu wenye uzoefu na pishi la kumpika...
Habari wakuu
Nimepewa mbegu za giligiliani. Nimeambiwa naweza zitumia kama kiungo kwenye wali na nimejaribu kuziweka kama zilivo ila cha ajabu zimebaki na ugumu wake ule ule ingawa zinatafunika...
Wakuu nimekuta sehemu nda humo jamaa anaomba ujuzi wa kupitia Michembe.
Hivyo nikaona nishee na nyinyi japo kwa uchache.
Jinsi ya kupika Michembe
1-Chukua Michembe inayo tosha kwa ajiri ya...
. . .What are you Great at?!!
Nini ukipika watu wengine wanaomba kuongeza chakula kama hawana akili nzuri? Au hawaachi kuomba uwaambie ulichoweka? Au hawaachi kutania kwamba lazima umeweka dawa...
Hi guys,
Natumaini mmekuwa na J'pili njema na yenye baraka..!
Nakumbuka miaka ya nyuma ndiyo najifunza funza kupika maskiini, siku hiyo nikaambiwa nipike uji tena wa ulezi bhaana bhaana, nikatoa...
Bandugu ebu tupeane Maujanja zaidi ya kutumia hii kitu tomato sauce unayoyajua wewe au ndo kuweka tu kwenye chips kama nijuavyo mimi au kuna vitu zaidi tujuzane tafadhali.
Ahsante
Amani iwe nanyi
Habari za leo ndugu wapendwa.
Ni kwa muda sasa nimekuwa na mazoea ya kula vyakula kama jamii yetu ilivyozoea. Asubuhi chai na maandazi, mikate au chapati, mchana ugali, jioni wali na vitu...
Habari zenu wakuu?
Natumai mko POA.
Najua Jf imejaa watu wa Kila Aina wenye uzoefu katika mambo mbalimbali na vichwa vyenye madini ya kutosha!
Hivyo basi wakuu nilikuwa naomba wataalamu wa...
Mimi ni moja ya wale wajuba wasiopenda kula mitaani iwe hotel,cafe,bar,pub,nk sehemu yeyote wanayotoa huduma ya chakula sio mpenzi wa kula sehemu hizo na hii n kwasababu sipendi pikiwa chakula...
Yaani ukioa mpare utalishwa makande hadi ukome, yaani imekuwa kama ndo chakula kikuu sijui ndo uvivu wa kupika?
Halafu mzigo unapikwa wa maana mtakula hata siku mbili, unampa hela za matumizi za...
Nipo chuo na ninaishi na mshkaji wangu. Huyu jamaa ninayeishi nae, ni mpenzi mkubwa sana wa dagaa. Ila, jamaa hawezi kuzipika.
Kwa wiki ni LAZIMA tuzile angalau mara 1 ila ladha ndio mtihani...