Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Karibuni I'm enjoying a soup na nimependa share nanyi recipe.Tamu sana. MAHITAJI (kwa mtu mmoja waweza ongeza ku fit idadi ya walaji) Ndizi ama viazi 2,kuku wa kienyeji(nusu),vitunguu maji vitano...
2 Reactions
4 Replies
13K Views
Hiki ni chakula kitokanacho na makopa ya miogo(miogo mikavu). Jinsi ya kupika. Hukatwakatwa vipande vya makopa kisha hulowekwa kwenye maji masaa yasiyopungua 12 ili kurahisisha kuiva kama...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Rejea mada tajwa hapo juu, Naomba kujuzwa namna ya kupika kande mahindi mabichi kwa maharage makavu na kama kuna viungo na vikorombwezo vya kuweka ili yawe na ladha murua. Asanteni Sent using...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Huwa nina shida ya kukinai chakula,so nataka tushee recipes tofauti za mchele! ======= SWEET CHOC RICE Mahitaji: -Mchele kg1 -Karoti tatu -Asali vijiko vitatu -Vanilla ya maji(kijiko kidogo)...
4 Reactions
54 Replies
32K Views
Jamani naomba msaada kwemye kuconvert measuring cups into grams wakati wa utengenezajo wa keki au mkate.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kua kwenye diet kunafanya nitafute namna mbalimbali ya kula na kuenjoy vyakula ninavyovipenda.Bila kuharibu juhudi zangu za kupunguza uzito. katika glasi ni mchanganyiko wa Maziwa mgando,tikiti...
11 Reactions
29 Replies
21K Views
Mbuzi ni mnyama anaeliwa na madhehebu ya dini nyingi, ni rahisi kununua mbuzi wa kula na familia kuliko ng’ombe, kwanza gharama pili mnaweza kula na kumaliza. Andaa samaki kidogo kwa wasio kula...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauliza kile chenye nguvu, kuhusu matunda n.k inaruhusiwa kukamilisha mlo kamili. Ila ni kipi waweza kula mwaka mzima. Mimi wali na maharage asubuhi mpaka jioni, kiporo n.k mwaka mzima na sasa...
4 Reactions
133 Replies
14K Views
Wakuu! Yaani tangu nikiwa mtoto nimekuwa nikichukia mboga kabichi au sijui tunda,mzizi anyway Nyumbani walikua wakipika iyo mboga lazima waniandalie mboga mbadala labda maziwa mgando au...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Napenda kupika sana nikishindaga home lazima nipike vitamu mahanjumati na nipo vizuri, mwanamke atakaeolewa na mim kama hajui mapishi atapata tabu sana.
14 Reactions
46 Replies
5K Views
Mapishi ya pilipili mboga na ngisi Mahitaji Pilipili mboga gramu 250, ngisi gramu 250, chumvi kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia vijiko viwili, maji ya wanga vijiko vitatu, chembechembe za...
2 Reactions
1 Replies
6K Views
Chemsha mchele, weka maji zaidi ya yale unayopikia wali, acha uchemke taratibu kwa jiko la imeme unaweza kuweka moto number nne. Baada ya dakika 20 zima jiko. Chukua bakuli la kuchanganyia, toa...
5 Reactions
5 Replies
8K Views
Sio kila siku uji wa ulezi tu jamani tuwe tunabadilisha ili kutowachosha walaji Mahitaji: Kiazi kitamu 1 (pia unaweza kuongeza vipimo kulingana na ukubwa wa familia yako) Maziwa fresh kikombe 1...
6 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari zenu wadau ni masiku mengi sijatia mguu ndani hapa ila leo naomba msaada. Ni mchanganyiko upi wa vyakula unaomfaa mtoto wa kuanzia miezi mitano... Maana wengine wanasema Dagaa...
3 Reactions
82 Replies
71K Views
Mahitaji =Maziwa =Tende =Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho Namna ya kutengeza. =Toa tende makokwa =Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo =Saga hadi iwe...
34 Reactions
163 Replies
106K Views
Wakuu nimeipa hii bidhaa mahala ila sijui jinsi ya kuandaa. Naombeni ufahamu. Natanguliza shukrani. Viazi vitamu vilivyokaushwa juani.
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Nisiwachose let go straight leo nimepita zangu magomen pale sasa kuna kamgahawa nikawa nikawa nasikia harufu ya vitu vzr vzr Mzee baba nikajisemea leo ijumaa ngoja nijitose maana hapo zamani...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Huu utaratibu wa kukipima joto chakula kwa kutumia thermometer kama mgonjwa wa homa maana yake nini?
3 Reactions
26 Replies
5K Views
kuna dogo hapa nataka awe vegetarian/vegan... angalau afikie hatua awe anatafuna tangawizi kama karanga huku akitabasamu bila kukunja sura. kwa jiji la dsm, napata wapi haya mavitu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau wanao hitaji kujua jinsi ya kupika maharage Wadau samahani, Yani kila siku napojaribu kupika maharage ile natoka na kurudi ndani nakuta nyumba imejaa moshi vitu vimeungua sana. Yani hivi...
1 Reactions
209 Replies
54K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…