Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Mahitaji: - Karanga robo zisage ziwe laini kiasi - Mayai 5 tenganisha kiini na ute - Custard 4 teaspoon Baking powder 1/2 teaspoon - Sukari 450g - Hiliki 1/2 teaspoon - Arki flavor...
5 Reactions
15 Replies
14K Views
Mahitaji 1) Binzari ya pilau 250g 2) Karafuu kijiko kimoja cha kulia 3) Iliki 125g 4) Pilipili manga 100g 5) Mdalasini vijiti 10 vikubwa, vunja vunja Namna ya kutayarisha Weka sufuria...
12 Reactions
60 Replies
24K Views
Jinsi ya kutengeneza fruit salad ya nanasi, machungwa na maembe Mahitaji 4 vikombe vya mananasi yaliyomenywa na kukatwa vipande vidogo vidogo 2 machungwa yaliyomenywa na kukatwa vipande...
4 Reactions
12 Replies
18K Views
Mahitaji Unga kg 1 Sukari kiasi Hiliki Baking powder 1tea spoon Hamira 1table spoon Tui la nazi au maziwa Samli 3 table spoon Siagi 3 table spoon Yai 1 Mafuta ya kupikia Namna ya kutaarisha...
3 Reactions
48 Replies
11K Views
One of the pleasures of travel is getting to sample the local cuisine. But would you tuck in to a developing duck embryo straight from the egg in southeast Asia? Or sip fermented mare's milk in...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Wanaukumbi. MUDA SI MREFU KAA TAYARI JIFUNZE KUTENGENEZA PIZZA KEKI MAHITAJI JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari ni ndugu, Natafuta mwalimu wa kunifundisha upambaji wa keki ili nijiajiri. NinaujuzI huo ila nahitaji kujua hiyo sana. Natak kujua sana na ntalipa kwa ajili ya hilo. Nipo DSM please...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa mwenye uzoefu tafadhali anieleweshe.
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Wengi ni wapishi lakini theory ya upish huu hatujui, mimi nitaanza kutoa elimu basics za culinary arts. Leo ni hiyo juu 1. Herbs ni mimea iwe imekauka au mibichi jitumika kwenye vyakula kupika au...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za leo wadau natafuta mwalimu wa kunifundisha kupika keki na kupamba tafadhali email sharifadupont@yahoo.com kama yupo awasiliane nami kwenye email yangu tafadhali kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Upishi wa Visheti Vipimo 1.Unga 2 Vikombe 2.Samli au shortening ya mboga 2 Vijiko vya supu 3.Maziwa...
2 Reactions
32 Replies
41K Views
Kuna watu hawapendi mboga hizo lakini ukizipika kwa karanga nina uhakika atazikubali. Jinsi ya kuandaa; 1.Osha cabege yako kabla ya kukata hii inasaidia isiwe na maji mengi 2. Kata katika sles...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
wadau habari za majukumu tafadhali naomba nifahamishwe jinsi ya kupika sambusa
0 Reactions
24 Replies
24K Views
Hii ni 30 minutes or less breakfast, ila unaweza kula mda upendao au hata kuweka kwenye lunchbox ukabeba kazini. Mahitaji( kwa ajili ya sandwich 4) 1)Slesi 4 za mkate 2)Majani ya kotmir...
9 Reactions
39 Replies
21K Views
Hivi kwa nini walaji wa haya matunda- matango, maembe mabichi na matango au kachumbari wanatumia sana chumvi? Kwa nini wasitumie sukari? Hivi vitu vina uhusiano gani na chumvi? Jamani, wale...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wana JF, Mimi natafuta mwanamke mfanyabiashara fundi wa kupika supu ya kuku wa kienyeji na awe mtaalamu wa kupika mchemsho wa kuku uliochanganywa na karanga viazi mviringo au ndizi. Utaalamu...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Vipimo Nyanya za mshumaa/chungu 20 kiasi Kitunguu 1 Nyanya/tungule...
2 Reactions
25 Replies
13K Views
Declare Interest: Mimi jukwaa langu ni la siasa, huku nimekuja leo na sitorudi tena. Why MIHOGO? 1) Rahisi kupatikana 2) Kila mtanzania anaijua sio kama mara egg chop, fish finger, Streetwise...
1 Reactions
14 Replies
20K Views
Kuna uzi wa Bulldog kule watu wanataja tu vyakula ila kufundishana kupika hawasemi, please kama unaweza tuambie chakula chako unachojua kupika,unachokipenda au kwa ajili ya watoto kwa mfano;uji wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF, Kuna watu hawajui tofauti ya viungo na mboga ya majain mfano viungo ni hivi galic,jinger sweetpaper onion carrots.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…