Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakuu habarini!
Samahani leo nataka mnitoe tongotongo kuhusu sheria na utaratibu wa kupata makazi kwa yeyote ndani ya Tanzania.
Ni hivi, nimeshangaa kusikia katika kijiji kimoja mkoa fulani...
Anayejua jamani nauliza.
Mwaka jana sikupewa likizo kwani kulikua na upungufu ea watumishi.. Sikulipwa naomba msaada wa waraka au sheria gani niweze kudai haki yangu
Ahsanten
Sent using Jamii...
Hongera Mh. Jaji Mkuu, lakini imani ni ndogo.
Kwa nini nasema hivi? Kwa nini alikuweka "benchi"? Waswahili wanasema: IF YOU WANT TO BEFRIEND A LION, JUST STARVE IT", baada ya siku saba, mtupie...
Mazen • 3 months ago
People praise the efforts made by President Magufuli, however there is much work to be done if Tanzania is to be respected as a modern country. The judicial system is...
natumai ntapata msaada wa kimawazo hapa kwakua najua jukwaa hili linawanasheria si haba,
'
pembeni ya maskani yangu kuna bar moja hatari sana
yani imekua kero usiku mzima hatulali ni kelele tu...
Mwanangu mimi (mtoto wa dada yangu) amerudi analia, akisema amelawitiwa. Kwa uchungu nikamchukua mwanangu nikampeleka polisi. Nikapewa PF3 Tukaenda hospitali na gari la polisi. Baada ya mwanangu...
Watu wa Sheria naombeni jibu, Jaji Mkuu anaweza kukamatwa na Askari wetu na kufikishwa Mahakamani? Najua Raisi wa nchi hawezi kukamatwa, vp kuhusu Jaji Mkuu?
HAbari wanajukwaa!
Nimefuatilia kwa karibu usomwaji wa kesi na maaamuzi ya mwisho katika kesi ya msingi iliyofunguliwa na Muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya NASA kupinga matokeo ya...
Kwanza namshukuru Dr. Khamisi ambaye kupitia KLH News alinidokeza uwepo wa nyaraka hii. Barrick Gold ni kampuni iliyosajiliwa Canada. Na kimsingi shughuli zao wanazofanya kule Canada zinaongozwa...
Habari zenu!
Kwa wale wanasheria na pia wajuzi wa sheria na taratibu za kipolisi, naombeni ushauri.
Binafsi sijui kabisa taratibu za kipolisi na pia kisheria, yaani jinsi ya kumuweka mtu ndani na...
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2010 Kwa kuwa
na ibara ya 1 inayosema Zanzibar ni nchi Kwa
maana ya Taifa kamili ni wazi kuwa katiba ya
Zanzibar haiutambui...
Kama mada ilivyo hapo juu. Ameondoka huku akiacha maneno mengi kama vile kutishia kuniua na kwamba hanihitaji tena. Kwa hatua aliyoifikia nami sihitaji kuwa naye tena. Ikiwa nitahitaji talaka...
Mimi ni mwalimu ninayesumbuliwa na ugonjwa wa moyo,nafanya kazi mikoani lkn nimepewa referal ya kutibiwa Hospitali ya Taifa,kutokana na ushauri wa daktari kwamba ninapaswa kuwa nahudhuria kila...
Jamani naomba wale wajuzi wanifahamishe kwa hapa kwetu tulipozaliwa kwa bahati mbaya,
Mahakama ya juu kabisa ipo ? Ni ipi hiyo? Inasikiliza hoja kwa uhuru na haki ??
Nifahamisheni jamani.
Naomba kuwauliza Wanasheria waliobobea kwenye sheria. Je haya yafuatayo yanaweza kufanya uchaguzi kufutwa:-
Mwenyekiti kutangaza matokeo kabla ya nyaraka zote hazijafika na yeye amekubal kuwa...
Habari wandugu,
Naomba wanasheria mnisaidie kama kuna kifungu chochote katika sheria ya ardhi kinachosema mtu anapouziwa eneo ni lazima kati ya mashahidi wawe watu wanaopakana na muuzaji.
Pia...
Dear members,
As we speak, Ugandan judges and magistrates, over 400 of them, are striking over poor conditions.
The Uganda Law Society is in full support of the striking Judiciary. No one is...
Leo kwenye Magereza yetu kuna akina Kitilya, Manji, Malinzi na mahabusu wengine wengi ambao kila wakifikishwa mahakamani wanaambiwa upelelezi unaendelea.
Kwanini mtu ama watu wakamatwe na...