Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Tazama!
Mwaka 1971 mkulima mmoja aitwae Said Mwamwindi alimuuwa Mkuu wa mkoa wa Iringa marehemu Dr Kleruu kwa kumpiga risasi.
Kwa wanaokumbuka kesi ile Alhaji Mwamuhindi alinyongwa mpaka kufa...
Hivi ni jambo gani kutokana na sheria za nchi raia anaweza kulifanya na akafukuzwa nchini kwake akaishi uhamishoni moja kwa moja au kwa muda wa miaka kadhaa?
Hebu wajuvi tiririkeni hapa...!!
Habari wana taaluma wa Sheria.
Ninakuja na ombi langu kwenu la msaada wa mawazo ya kisheria juu ya adhma yangu ya kufungua shauri katika tume tajwa hapo juu. Ukweli ni kwamba mwajiri kaniachisha...
Naam!
Salaam wakuu,
Kuna dogo mmoja, ni mdogo wangu, ameanza sheria tu mwaka wa kwanza yupo. Sasa karudi home mara moja, anajiona tayari ni DA (District Attorney)
Ubishi ulikua ni kwamba, JE...
Kuna ndugu yangu amestaafu. Anadai fedha zake toka kwa mwajili. Almost 3 years tangu astaafu. Amemkumbushia fedha hizo mwajili ansema hanan hela. afanyeje? Nauliza hivyo kwa kuwa time limitation...
Kwa uelewa wangu, wananchi ndo kama mabosi wa serikali. TRA bila wananchi hawana mapato, Bandari bila wananchi hamna kazi, Mishahara ya serikali inategemea mapato toka kwa wananchi, bila uchaguzi...
1. Habarini za majukumu;
Ninaomba kujua mipaka ya utendaji kazi kati ya Chama cha wafanyakazi na Mwajiri mahala pa kazi
2. Je,ni halali kisheria mikutano ya chama cha wafanyakazi kuhudhuriwa na...
Nimekuwa nafuatilia masuala ya sheria hapa nchini. Nimewahi kusikia kiongozi mmoja akisema kuwa hategemei kusikia mawakili watawatetea watuhumiwa wa madawa ya kulevya.
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Ndugu wana jf, katika pitapita nimefika huku usa kuna binti kakamatwa na kunyimwa mtoto wake aliye chini ya mwaka mmoja.
Inavyonekana jamaa wamepeana hela kwani binti amepelekwa mahakamani kwa...
Jaman nipo maeneo ya Kahama hapa, kuna mtu amenipigia simu kwa namba ngeni na kunitamkia maneno haya "Nasikia unajua sana kuimba nyimbo za mapenzi, sasa wewe umeanza, mimi nitamalizia, nikamuuliza...
Kwa heshima na taadhima msaada misheria hii ipoje? Sababu kila abebae begi mgongoni anakuwa na Sababu zake binafsi. Eidha ziwe nzuri ama mbaya. Je, kisheria mwajiri anamamlaka ya kuzuia mabegi...
Matumizi mabaya ya madaraka ya DPP tanzania yana historia ndefu, hayakuanza na kesi ya Lema. Tafuta na soma kesi hii: Mehboob Akber Haji and Another V.R
"It is this unfairness and injustice...
Nafanya kazi kwenye sekta binafsi,niliitwa kwenye meeting na boss wakiwa na hr manager.wakanitumu utendaji usioridhisha,wakasema hawawezi kuendelea na mimi,wakaomba niache kazi by mutual...
Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi,jana niliitwa na boss wangu pamoja na hr,wakinituhumu kuhusu utendaji usioridhisha,na wakasema hawawezi kuendelea na mimi kazini.lkn sijawahi kupewa onyo...