Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Ndugu zangu Amani iwe nanyi. Mimi si mpitaji sana katika jukwaa hili. Lakini kwa wakati huu ambao mimi ni mhitaji mkubwa wa msaada wa kisheria nimelazimika kutembelea hapa na kuomba nisadiwe ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nina miaka miwili kazini sijawahi kuutumia mshahara wangu kwa matumizi yangu binafsi zaidi ya mwanaume kuupigia bajet na sometimes kuwatumia ndugu zake wanasheria wa jf naomben mnisaidie mwanaume...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, naombeni msaada kwa mtu ambae muda wake wa kuclear masomo chuo umekwisha na hajaweza kuclear na hivyo kuonekana amenidisco walau gpa bado inasoma ila tu tatizo hajajitokeza ku...
0 Reactions
2 Replies
714 Views
KWA UFUPI Mbali na Marwa, ambaye amesoma kozi ya urubani, mshtakiwa mwingine katika kesi hiyo ni Peter Charles Mayalla, ambaye ni mshtakiwa wa pili katika kesi hiyo. Dar es Salaam. Salimu...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Naombeni msaada wa kujua taratibu zibazotakiwa kufuatwa na mwekezaji anayetaka kuchukua ardhi ya wananchi na utaratibu wa uthamini na ulipwaji wa fidia. Mwekezaji huyo anataka kufanya uthamini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona kurahisisha ufuatiliaji wa kesi za uchaguzi wa wabunge kuna uhaja wa kuanzisha special thread ya kuziripoti na kuzifuatilia....................
0 Reactions
34 Replies
5K Views
naomba kujua hatua gan zichukuliwe kisheria endapo mtu atapokonywa haki yake ya kupiga kura. mimi ni mhanga ambaye nimehamishwa kikaz kutoka mkoa niliojiandikishia na sasa npo mkoa mwingine...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
nilimsikia tundu lisu akisema sheria haiko wazi namna rais atavyokabidhi madaraka hili likoje wanasheria wenzengu tukilejea kwenye ibara ya 42 (3) ya katiba
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kueleweshwa hapa. Kisheria, mali ambayo mwanandoa amekukuta nayo say kiwanja/ shamba inahesabika au haihesabiki kama sehemu ya mali ya wanandoa? Kuna ahadi fulani husemwa kanisani (baadhi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Pale wazazi wametengana na mtoto bado mdogo ,baba wa mtoto anatakiwa atoe kiasi gani cha pesa kwa ajili ya matumizi ya mwanae kwa mujibu wa sheria
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wanasheria na wana JF kwa ujumla. Nina ndugu yangu alimpa ujauzito binti miaka km mitatu hivi iliyopita.Huyu jamaa alikua chuoni na binti ndo alikua anamalizia form four.Imetokea jamaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu watalam wa sheria naombeni msaada nifanyeje kuna ndugu yangu kachafuliwa mtandaon kwenye blog flan sasa sijui nifate hatua zp maana hata email tcra hawajibu..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Amani iwe kwenu, Mzee wangu Jana tarehe 26 September,2015.Mzee wangu amenyimwa Dhamana na Afisa aliekuwa Zamu tarehe tajwa hapo Juu!ktk Kituo cha Polisi kikuu Shinyanga, Ana nyumba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajf..mimi nilinunua nyumba na kiwanja..na kabla ya kukinunua nilienda ofisi za ardhi kujiridhisha kuwa Hakikuwa na deni lolote toka taasisi ya fedha..sasa baada ya kununua imeibuka benki moja...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Je kwa mtumishi wa silikali mwenye mkopo bank akiamua kuacha kazi, Je ulipaji wa mkopo utakuwa ni kila mwez kama alivyokuwa akikatwa mshaara kila mwezi, au inakuwaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Matusi na khashfa alizorusha Iringa leo, lazima Wana Sheria wa Chadema wampeleke Mahakamani. Maadamu hizi kashfa zimetolewa kwenye Jimbo la Msigwa, basi huu ni ushahidi wa kwanza kabisa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ningependa kujua sheria na au taratibu zinazosimamia huduma za kifedha kama MPesa, TigoPesa, BPesa, Credit cards, nk. Hivi ni sawa na za benki? Kama sio, tofauti yake ni ipi na utaratibu wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sheria zikishatungwa mwananchi wa kawaida anatakiwa kuzipata wapi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mm nauliza kwa mnaofahamu Je mwajiriwa wa selikari anaweza kuomba kusimama kazi kwa angalau mwaka 1—2. Kisha akarudi Tena kazini?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza migogoro ya ardhi kwa mujibu wa sheria anaeitatua ni nani Mahakama za ardhi za kata na Wilaya au Waziri wa ardhi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…