Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wafanyakazi Wa Kampuni Ya Sukari Kilombero Wiki Ilyopita Waliamua Kujitoa Kwny Chama Cha Wafanyakazi Walichokuwepo Cha TPAWU kufuatia chama icho kushinwda kuwawakilisha vema kwa mwajiri na...
Habari wakuu,
Kuna msaada wa kisheria unaomba kama ifuatavyo.
-Kuna Dada mmoja alichukua mkopo Bank (Ni Bank ltd fulani hivi ndogo)kama milioni tatu na nusu,kwa dhamana ya Duka na Vitu vya ndani...
Nimeibiwa laptop aina ya hp hapa bukoba mjini byekera maeneo ya kasarani. Ina window 8.1 pro kwa aliyeiona au kuichukua nitext 0715 276 275 au 0765 276 275. Hasante kwa upendo na kujali. Pia...
Nilienda kwenye eneo langu nimekuta jiwe langu wamelitoa nalietoa ameweka nguzo yake ya geti na anaendelea na ujenzi.
Nimeenda serikali ya mtaa wamenipa barua ya nipeleke kwa mjumbe na amkabidhi...
Nimegundua mke wangu anatoka nje miez sita sasa kwa ushahidi wa kuwarecord kwa kutegesha recording kwenye simu yake baada ya kuchoka vitimbwi na kutopewa haki ya ndoa mara kwa mara na kuchelewa...
Wakuu hembu nipeni utaratibu wa kisheria.
Kuna mtu alipewa RB kwa ajili ya kumkamata mtuhumiwa wa madai.Sasa amemtia hatiani leo alfajiri baada ya kuhangaika kumsaka muda wa mwezi mzima.
-Je...
Nimeenda kwenye eneo langu ambalo naendeleza ujenzi nimekuta jirani yangu nilie karibu yangu mpakani ametoa beacon moja wapo zilizo wekwa miaka mitatu iliyopita, nimeenda serikali ya mtaa wamenipa...
Nina ndugu yangu yupo mwaka wa pili UDSM semester Hii ya tatu amekosa ada na ameambiwa agairishe mwaka kwa kukosa ada.
HOJA ni kwamba yeye hataki kugairisha mwaka mana hata akigairisha mwaka...
Heshima kwenu wakuu! Kutokana na ugumu wa maisha niliamua kujinyima nikahifadhi visent vyangu kwenye kibubu lengo lengo nifikishe japo 2ml ili ninunue pikipik na niifanye bodaboda niepukane na...
wakuu habari za asubui samahani mstakiwa unaruhusiwa kuongea dukuduku au uonevu wowote juu ya kesi inayoendelea mahakamani mbele ya hakimu anyeendesha kesi husika kabla ya mashahidi kuitwa mahakamani?
Nikifungu gani cha sheria kinawaruhusu maaskali polis kukamata familia nzima na kuwapeleka rock up pindi wanapomkosa mhusika(mtuhumiwa) wa familia husika..?
hsbari wanajamvi tafadhalini naomba ufafanuzi mwendesha mashtaka pp ana uhusiano gani na kesi naulixa hivi nikiwa na maana hii kesi inaweza kuahirishwa kwa sababu pp hayupo?
Wakuu habari za kazi.kunamtu anaomba msaada juu jambo ambalo mwanandoa mwezi walieishi nae zaidi ya miaka 4.na kuzaa mtoto mmoja lkn hivi leo mumewe ameamua kumuacha na mume huyo ameiba hati ya...
Wanasheria naomba msaada wenu wa kisheria, kuna binti amejinyonga mpaka kufa na ameandika kikaratasi kinachosomeka hivi ''nimeamua kujinyonga maana kijana ninaempenda (alitaja jina langu) yeye...
Habari Wakuu
Kuna binti mmoja alipewa ujauzito na kijana,huyo binti alikua anamalizia masomo yake ya form four mwaka 2011 (yaani alipata ujauzito wakati ndo anafanya mtihani na bahati mbaya...
Kutokana na sheria za mirathi za kila aina tukianza na ile ya India ya mwaka 1885 na sheria za kimila pamoja na sheria za Kiislaam hazimpi mtoto wa nje ya ndoa uhalali wa kurithi mali.
Maoni...