Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nahitaji kupata uelewa wa kisheria katika hili, kama procurement process inaweza kufanyika bila ya muhusika au office inayoconduct hiyo procurement, kufanya matangazo au kuinvite tenders kwa ajili...
Kwa kuwa ndoa za kikristo hazivunjiki na haziruhusu mke zaidi ya mmoja na kwa kuwa kwa Tanzania mahakama pekee ndio yenye mamlaka ya kuvunja ndoa, Je kwa Mkristo akibadili dini anaweza kuoa tena...
For two years now, I have been part-timely working with some travel agents online on marketing and strategy. Then,I came with an idea of having travel portal for tours and activities. I hosted...
Msaada wa sheria; Mimi nimepata uhamisho toka TAMISEMI, halafu Halmashauri haitaki kufunga data sheet mpaka ninayebadilishana naye kituo afike. Nifanyeje?
Kazi zinazotangazwa na Utumishi zimekuwa zikiambatana na sentesi hii, lakini sijui watu kama wanafahamu hiyo circular inaelezea nini. mimi binafsi sifahamu kuna maelezo gani kwenye hiyo circular...
Habari wakuu.
Hapa jirani yangu kuna jengo la uchapishaji magazeti.
Hapo awali mashine zao za printing walkua wameziweka mbali na makazi yetu. ila hivi karibuni wamezihamishia upande ambao ni...
wadau na wanasheria wote humu ndan tafadhari naomba kwa yeyote mwenye sheria hiyo ya JALO anisaidie kuipata. Hii n ile sheria iliyokuwako kabla ya hii tulionayo ya sasa ambayo ni JALA
nawatakieni...
Jamaa wawili wanapakana ambapo mmoja amejenga ukuta kuzunguka makazi yake,na jirani yake ndani ya eneo lake ameotesha migomba kabribu kabisa na mpaka.Mgomba mmojawapo umezaa tunda la ndizi ambayo...
Wana JF,
Tusaidiane katika hili. Katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika mwezi uliopita wenzetu walishinda kwa kuchakachua kwani mambo mengi yalikiukwa.
Tumefungua kesi mahakamani na...
Precisely, the Conciliation Board under the labour tribunal was established by Security of Employment Act of 1964. Among other things it said to strengthen industrial democracy and to restrict the...
Katika nchii hii,mahakimu wa mahakama zote,waendesha mashtaka,mawakiri na wanasheria wa serkari ni watu wanaongamiza rasmali za nchi,
Ukienda kweny ofisi za hawa watu ni deal kw kwenda...
Kuna mkurugenzi wa kampuni ya Kajuma Prime Cargo ya kusafirisha mizigo Kwenda Arusha and Nairobi amenichezea na mzigo wangu.
tulimpa Bango alipeleke Nairobi ,akafika Arusha akalishusha and...
IN THE MATTER OF THE KADHIS COURT, OTHER COURTS
AND
IN THE MATTER OF CONSTITUTIONAL REVIEW
AND
IN THE MATTER OF ENFORCEMENT OF FUNDAMENTAL RIGHTS
AND FREEDOMS OF THE INDIVIDUAL UNDER SECTIONS...