Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

WAZIRI MKUU WA TANZANIA ASHITAKIWA RASMI....MAWAKILI 19 WAJITOA MHANGA Kituo cha Sheria na Utetezi wa Haki za Binadamu (LHRC) na Chama Cha Wanasheria Tanzanyika vimefungua kesi ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mheshimiwa Jaji Francis S.K. Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa. Taarifa iliyotolewa Dar Es Salaam leo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani KOVA upo wapi mzee wa matukio!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Jana Mwalimu mmoja wa Shule ya Msingi Kisukuru iliyopo hapa Tabata- Kimanga, Dar es Salaam, amefumaniwa LIVE akiwa anavunja mari...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Je, sheria inasemaje juu ya mwanaume anayekwepa jukumu lake la kulea mimba, lakini hapo hapo anadai kuwa mtoto akizaliwa ni mali yake na atamchukua? Naombeni msaada kwa hili.
0 Reactions
10 Replies
6K Views
MKE WA DR. SLAA AZUA TIMBWILI MAHAKAMANI.... JOSEPHINE Mushumbusi, mke wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa, jana alisababisha vicheko mahakamani baada ya kushindwa kumtambua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA UKWELI KUHUSU MOROGORO PARALEGAL Kufuatia taarifa za upotoshaji zilizoandikwa na mwanachama (Member) wa Mtandao wa kijamii wa Jamii Forums aliyejitambulisha kwa jina la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ibara ya 13(4) katiba ya Tanzania marekebisho 1977 inasema kuwa ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu au mamlaka inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au katika utekelezaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkazi wa Kibirizi Manispaa ya Kigoma/Ujiji, Ndelagakula Romedafee (23) akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha jela na Mahakama ya Wilaya ya Kigoma kwa kumbaka mtoto...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu naomba busara zenu. juzi majira ya usiku maeneo ya kigamboni nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu maeneo ya kigamboni mbele yangu nikamuona binti mdogo akiugulia maumivu ya tumbo alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KWA UFUPI Washtakiwa hao walikamatwa Julai 28 wakiwa na meno 70 ya tembo kwenye kizuizi cha Kauzeni Kisarawe. Kibaha. Polisi wawili wa Kituo cha Oysterbay Dar es Salaam na raia wengine saba...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
LL.B graduate and i really need an opportunity as an intern before i join law school next year either in a law firm or any legal related field. i would kindly appreciate any advise or support on...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mjumbe wa baraza la usuluhishi la ukoo wa kichaga,na alitokea kijana fulani ambae alizaa na mke wa mtu,baada ya muda mchache yule kijana akafariki lakini yule mwenye mke akaficha siri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kenyan Indian Chief Accountant AdvertiserLogin or Register Now to see Advertiser name Location Nairobi Job Category Accounting Work Type Full Time Salary Not specified Employer: A leading...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, leo imeiaharisha kesi inayomkabili msanii wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' a.k.a Annaconda dhidi ya uongozi wa Clouds Media Group hadi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbeya. Mkazi wa Isanga jijini Mbeya, Yusufu Amani (39) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na Mahakama ya Wilaya ya Mbeya baada ya kupatikana na kosa la kumlawiti, kumpa mimba na kisha kumzalisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tabora Uamuzi dhidi ya kesi inayowakabili wanachama watano wa Chadema yaliyokuwa yatolewe jana sasa yatatolewa Agosti 5. Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, Simon Lukelelwa alitoa...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Kundi moja ambalo lilikuwa likicheka huku wakimlowesha mwanamke mmoja kwa tindikali wakati mama huyo akiwasindikiza nyumbani watoto wake mapacha wenye miaka sita kutoka shuleni, wamehukumiwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
katika hali ambayo haikutarajiwa ni hii hali ya ushirikiano wa kiutendaji kati ya Jeshi la Polisi na wananchi. Kupitia dhana ya Polisi Jamii wananchi wameweza kuwa karibu na wananchi na hivyo...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Je, kuna sheria inayosema mtu akizaa na mwanaume mwingine na kuachana na mumewe anyang'anywe mtoto mdogo wa miaka miwili?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Pamela Kalala Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Pamela Kalala, aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…