Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari zenu wana jamvi,leo nimewiwa kuleta hii maada ili tuweze kupata ufafanuzi zaidi kuhusu mabadiliko ya katiba katika nchi za EAST AFRICA,tunataka kujua ni katiba ipi inayoongoza kwa kufuata...
Maana tunasikia tu kesi za mabilioni ya EPA nk; je, kesi ya DECI mbona kimya kabisa? Na yale mabilioni waliyoyakusanya yako wapi na ni nini hatima yake?
siyo siri tena kwamba TBC hawataki kutangaza habari za chadema na hata wabunge wa chama hicho.
Mara nyingi wabunge wabunge hao wanapozungumza TBC hukata kwa kisingizio cha ubovu wa...
Hivi mdau mwenzangu umewahi kujiuliza swali hili?
Katika mihimili mitatu ya Dola,mahakama ndio mhimili pekee unaotenda haki kwa wapinzani.Mahakama zetu zingekuwa zinafanya kazi kama Bunge kwa...
The 1996 homicide investigation
of six-year-old JonBenet
Ramsey provides valuable lessons
in proper crime-scene
investigation procedures. From
this case, we learn how important
it is to secure a...
Kumekucha wanajamvi?
maana kulala uraiani na kuamka jela limekuwa jambo la kawaida sana hapa kwetu ndo maana nauliza kama kumekucha na makucha yetu salama?
Leo nina swali moja kuu la msingi na...
Wadau, naomba niliseme tu! Naona hukumu za akina Ponda zimejaa siasa tu wala hakuna hata chembe moja ya uhalisia wa sheria. Ni kuwatuliza kundi la watu fulani. Hakuna taaluma ya sheria! Shame on...
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49...
Nimekuwa nikiangalia watu wengi wakifunguliwa mashitaka ya jinai na baadae Mahakama kuwasafisha, Mfano hai kabisa ni mashitaka ya Lwakatare na Zombe. Hivi hairuhusiwi Kumshitaki DPP kwa kufungua...
Wana JF leo nimejaribu kuangalia taarifa ya habari kupitia TBC lengo lilikuwa ni kuona Je watazingumzia kesi ya lwakatare hasa baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi. Kweli sijaamini kilichotokea...
Leo ndio tarehe iliyopangwa kusikilizwa kwa kesi ya katibu wa Jumuiya na mihadhara ya kiislam sheikh Issa Ponda baada ya kuhairishwa kwa jaji kutofika mahakamani.
Swali la msingi kama wafuasi...
Leo nilikuwa natokea Sengerema, nikavukia Kigongo Fery. Nikiwa kwenye kivuko kuna suala la kipuuzi limetokea mahali pale kuna gari ambalo ni mali ya SABEDI lenye namba za usajili UAH 868 NA TELE...
jaman hebu nijuzeni kuhusu bum linatoka lini?
jana tulitangaziwa kuwa leo mchana tungewekewa but till now nothing
nani mwenye update ya uhakika?
wengine tuna cku tatu tunashindia chai tu
Jamani ni haki ukiwa ulishasign mkataba na chuo tokea mwaka wa kwanza inaruhusiwa kwa cho kupandisha ada kwa kila muhula??? Naombeni mnaofahamu sheria na kanuni za mkataba mnielezee.
Kuna malalamiko mengi kuhusu RAS electronics ya mabibo hostel ya ama kudhulumu, au kubadilisha hardware, au kum-provoke mteja ili afanye kosa la jinai wakati anapodai mali yake. Na mara mteja...