Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kwenye mjadala huo chini, ameandika maneno hayo kwenye quate akiwa na maana SIKU za Mchungaji zinahesabika. Maisha yake unaweza kuhesabu kwa wazi kabisa kuwa zimebaki siku ngapi.
Ninaomba...
Wakuu na wajua sheria naomba mnisaidie nauliza.
Nina mpangaji na tuna mkataba utakaoisha 2014.June.
Hajalipa kodi ya June 2013-June 2014.Kodi yake inaisha May.2013.
Nimeamua kumpa notice ya miezi...
Mimi ni mwanaume niko kwenye ndoa kwa miaka 4 sasa na kabla ya hapo nilipata mtoto na kwa bahati mbaya mke wangu alichelewa kupata mtoto hivyo tuka adopt mtoto japokuwa bado hajawa mtoto wetu...
Habari wana Jamvi!
Hii ni kuhusu kesi ya Casey Anthony, mama wa Kimarekani aliyefanya unyama mkubwa kwa kumuua mwanae wa kuzaa - Caylee Anthony (2yrs) mnamo mwaka 2008! Maiti ya mtoto huyu...
These are from a book called Disorder in the American Courts and are things people actually said in court, word for word, taken down and published by court reporters that had the torment of...
Kwanini mwajiriwa akiwa katika probation huweza kunyanyaswa na kutishiwa hali ya kuwa swala la probesheni ni acceptance ya mwajiri? Katika sheria za mikataba kama zinzvyo fanana fanana na sheria...
Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya
uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora...
LIWALE: WATOTO WADOGO WABAMBIKIZIWA KESI YA "UNYANG'ANYI" WA KUTUMIA SILAHA.
Watoto SAID HASSAN BADI, 14 (Kushoto kwangu) na SALAMA HASHIM MBWANA, 14 (Kulia kwangu) - (wote wanafunzi wa...
ndugu zangu jana tulipata habari kutoka Arusha ya kwamba polisi walikuwa wakimshikilia wakili Albert Msando baada ya kutokea vurugu kwenye chuo cha uhasibu Arusha (Arusha Institute of Accountancy)...
Chief Justice Willy Mutunga has denied claims that he was bribed during petitions that challenged the election of President Uhuru Kenyatta.
In a post on his Facebook page, the CJ said he has been...
PALU Invitation to Membership Recruitment Activity and Seminar on Recent Developments in International Law in Africa Friday 3rd May 2013
Pan African Lawyers Union (PALU) cordially invites you to...
Jamani wanasheria mnisaidieni kwa hili nani anapaswa kudistribute ardhi ya kijiji kwa wananchi ama kwa kuwauzia ama vinginevyo (a, VEO, b, WEO, c, mwanasheria yeyote, d, kamati ya kijiji ya ardhi...
Kuna mfumo mpya umeanzishwa na vyombo vya usalama na sheria ( mahakama na polisi) nadhani unaweza kuja shika mizizi kama usipopigiwa kelele mapema. kumezuka tabia ya kukamata viongozi hasa wa...
Wakuu....
naomba kujuzwa adhabu ya makosa haya.. kwa mfano mtu ambaye sio raia wa Tanzania
1. kuishi nchini bila kibali
2. kukosa viza
3.kufanya kazi bila kibali
na endapo mtu anapatikana...
Hongera Wa Zanzibari kwa hatua muhimu kwa ustawi na kulinda maadili sasa umefika wakati na sisi huku bara kuiga hatua hiyo kwani itapunguza sana ukimwi na kulinda heshima na maadili yetu...
NIOMBA MSAADA KUHUSU HILI TAZIZO ILA SIJAPATA UFUMBUZI. Ndugu wana sheria
naomba ufafanuzi juu
ya hili. Kuna kijana
kampa binti mimba na
walipogundulika
wakatoroka. Jambo
lakushangaza polisi...
Kuna rafiki yangu alikuwa anafanya kazi kiwandani sasa ukatokea wizi fulani yeye na wenzake walipelekwa mahakamani na kusimamishwa kazi hapo hapo lkn waliendelea kulipwa mishahara.
Sasa kesi...