Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

je hii nchi kila mtu ana mamlaka ya kumfunga mtu..eti kwa sababu yeye ni mtu fulani..akikosolewa kidogo kutokana na pumba zake..anakutisha..ooh ntakutia ndani...hakuko na umuhimu wa kuwa na sheria...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
JAMANI, nimesikia kwenye magazeti kuwa Dr. Hosea ametoa pendekezo kuwa, PCCB waundiwe mahakama yao binafsi, itakayo dili na kushitaki wala rushwa tu. niliona kama hilo ni pendekezo zuri, lakini...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Hukumu iliyokuwa itolewe leo dhidi ya Shekhe Issa ponda imeahirishwa mpaka mei 9.. Nikutokana na hakimu kuugua.
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Wakuu msaada tafadhali. Hivi hii Road Traffic Act ya 1973 imekuwaamended mara ngapi? Na Je kuna kanuni zozote zinazotakiwa kusomwa pamoja na hii act? (angalizo: mie siyo mwanasheria, ni dereva...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Wakuu natangukiza heshima......Nina kesi hizi baraza za land disputes since 2006!! Plot yangu ina title deed ya 1994...jirani Yangu baada ya kuCna neighborhood yetu kuna Major development...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nauliza naomba kufahamishwa: Hivi jeshi letu la polisi huwa halina utaratibu/kanuni rasmi ya namna kumkamata (Arrest) mtu au mtuhumiwa, au hata kumwita afike kituoni. Jee huu mtindo wanatumia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni kweli leo tunatumia sheria. Lakini zilitoka wapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mtoto wa rafiki yangu mwenye umri wa miaka sita ameangukiwa na geti la shule anayosoma na kuvunjika mguu,geti la shule linaonekana limeoza wakati wanatoka nje kurudi nyumbani ile kufungua geti...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau? Hivi, kuna ulazima kisheria kwa mfanyakazi kujiunga na mifuko ya kijamii(Social Security Funds). Na je, Mwajiri akishindwa kukulipa hayo makato (kwa upande wa NSSF), adhabu yake ni...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kamanda wa polisi mkoani wa Kinondoni (RPC), Charles Kenyela. Jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni, limelalamikiwa kwa vitendo vya baadhi ya askari wake kuvamia vyumba vinavyodaiwa...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
mimi naitwa Issa Said Ally( sio jina langu halisi), Kwa mda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na hili jina Kwa mda mrefu Kwa sababu limekuwa likiingiliana na majina ya watu wengi. Sasa nataka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ndiyo chaji yenyewe. Facts zimetulia na zinaonesha umakini ktk kazi. Je tumefika hapo au tutafika lini??
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Janja ya kushinda kesi kwa wakili huyu ambaye pia huiwakilisha ccm kwa baadhi ya kesi ni uandaaji wa mashtaka.huwa anahakikisha mashtka yanatengenezwa kwa namna ambayo itamsaidia ashinde...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za siku nyingi, nilikuwa naomba msaada wa watalaamu kuhusu maana yake "FUJO", katika sheria ya Tanzania. Je mtu moja, anaweza kuletea fujo, bila kumshambulia kimwili, bila kumshika wala...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana JF embu nisaidien katika hili, inafahamika Tz ni kosa kutoa mimba kisheria, ila kama m2 akiwa na matatizo kiafya yanayoweza ku7bshwa na ujauzto alioupata na akataka kutoa ni sheria zp...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hivi hawa watu wanaofanya mapenzi ndani ya gari na kusababisha ajari wanastahili adhabu gani
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbunge Godbless Lema akionyesha ishara ya vidole inayotumika na chama chake wakati akitoka mahakamani. Wandishi wa habari wakizungumza na Wakili Tundu Lissu aliyekuwa akimtetea Lema. Lema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nairobi, Kenya: The Law Society of Kenya (LSK) is demanding legal action be taken against a High Court Judge who acquitted businessman Kamlesh Pattni of Goldenberg criminal charges...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Wataalam wa sheria na wadau kwa ujumla, Heshima kwenu nyote, Kufuatia tukio la kulipuka kwa mabomu na kusababisha vifo huko Boston marekani, kuna swali linenijia. Vijana wanaosemekana...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
LULU AFANYA BONGE LA PATIPosted by GLOBAL on April 19, 2013 at 3:35pm 1 Comment 0 Likes Stori: Imelda Mtema Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ si mtoto tena, ametimiza rasmi umri wa miaka 18...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…