Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nisaidieni wakuu, nina mgeni toka China alikuwa na kibali cha tourist cha miezi 3, Bado hakijaisha but amebakisha kama siku kumi, nataka aendelee kuwepo yaani aongeze mda wa kukaa mwenye kujua...
Waliofiwa na ndugu zao na walioteseka kwa kukosa matibabu wakati wa mgomo wanajipanga kwenda mahakamani kuwashtaki madaktari,kiongozi wa mgomo dr ulimboka na mat.wameshaonana na wakili na kesi...
Humu Tanznaia tumezoea kuwaona masikini wakinyanyaswa kwa mambo ambayo hayaeleweki huku Mafisadi wakubwa ndio wanalindwa na dola. Namuomba Adam Malima awaangalie hawa vijana na huyu mwanamke...
Jamani sasa hivi nimepata jibu, wale wote wanaoshabikia migomo wakiwemo wamama maarufu wa TAMWA, TGNP na Haki za binadam wote ni wachagadema, so hii mogomo siyo ya kudai maslahi ya nchi, na...
Kamishna mkuu wa sensa na mkurugenzi wa takwimu kutoka NBS wamekutana na masheikh kujadili suala la waislam kutoshiriki sensa ya mwaka huu
Wakiongea na masheikh hao waliwataka waislam washiriki...
Jana kwenye taarifa ya habari kuna mwanaharaki mmoja alisema serikali ipige marufuku uuzwaji wa pombe kwani inamaliza jamii yetu...sikubaliani nae lakini....Kwa uchunguzi nilioufunya nimegundua...
Mlimani Tv kimekuwa chombo cha habari tanzania kinachotoa mda mkubwa wa hewani kutangaza matatizo yanayo wakumba wananchi wa Tanzania.
Makampuni ya simu yamekuwa ni moja ya kampuni zinazo...
Mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Hogolo, wa umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) ambaye ni Mkazi wa Mtaa wa Ikulu Kijiji cha Hogolo wilayani Kongwa ameuawa kwa kunyongwa na kuzikwa...
Nimesikiliza taarifa ya habari Clouds Fm, Afisa uhusiano wa Tanesco Babra Masoud ametangaza kwamba wote wanaoihujumu Tanesco kwa kuiibia umeme wajisarimishe ndani ya wiki 2 na kwamba kwa wale...
Nimesikia katika gazeti moja la Kiswahili la kila siku ya kwamba, DC amepewa ripoti yenye majina ya wauzaji wa magogo na nguzo za umeme kinyume na sheria kutoka katika msitu..
Nakumbuka miaka...
habari zenu wadau:nilikuwa naomba msaada kwa mtu anyejua ni nini tofauti kati ya kusoma sheria ya UDSM/UDOM first bachelor kwa miaka mnne na kusoma sheria ya MZUMBE first bachelor kwa miaka...
Wakuu naomba msaada wa kujua kama kuna sheria ya kupata house allowance ndani ya sheria zetu za kazi zilizopo hapa Tanzania ili mwajiri wangu aweze kunipa hii allowance,,,ni vizuri kama ipo nijue...
Akichangia bungeni leo, bila woga amesema seikali inachokifanya siyo sawa kwa kuwanyanyasa walimu kwa kuwapeleka mahakamani na kutojali maisha yao hasa suala la mishahara yao mibovu la laki 2 na...
Malawi President Joyce Banda leaves the country on Wednesday for Maputo, Mozambique for a SADC summit but Nyasa Times understands that she is also due to hold talks with Tanzanias President...
Mama mmoja leo ameondolewa katika semina inayoendelea hapa nchini kisa ananyonyesha hivyo basi hawezi kumudu shughuli za sensa. VIPI SHERIA YA KAZI INASEMAJE HAPO WATAALAM
Jamani jihadharini na wizi huu
Nimepigiwa simu na mtu nisiemfahamu akajitambulisha anaitwa Bwana Mrisho akajifanya ananifahamu hadi sehemu yangu ya kazi, nikamuuliza anashida gani akasema eti...