Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

AMA KWELI dunia imekwisha, makanisa, watumishi wa Bwana wanazidi kumtia hasira Mungu kila kukicha, Afrika ndiyo inaongoza. Mtumishi mmoja wa Mungu nchini Ghana amenaswa hivi karibuni akimwogesha...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Vigogo Ilala waburuzwa kortini bomoabomoa ya Tabata Dampo Send to a friend Tuesday, 05 July 2011 20:54 Hadija Jumanne VIGOGO sita wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
aliyeuwawa ni PC Dickson namba G2626 ambaye pamoja na wenzake wanne walikuwa wakilinda mgodi wa dhahabu wa Tulawaka wilayani Biharamulo. Chanzo RPC-Kagera-habari zaidi baadaye
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni habari niliyoipata toka kwa mdau wangu anayepatikana huko kuwa askari waliokuwa doria wamemkamata Afisa usalama wa taifammoja, OCD akiwa na vijana wake saba ila wanne walifanikiwa kutoroka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
FAMILILIA kadhaa zilizokuwa zikishi katika nyumba za Kampuni ya Reli (TRL) za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania zilizoko katika eneo la Gerezani Kariakoo, jijini Dar es Salaam, zimesema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JALADA la kesi ya wizi wa Sh6 bilioni za Akaunti ya Madeni ya Nje(EPA), ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), inayowakabili washtakiwa watano bado halijarejeshwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wanne wakiwemo watuhumiwa watatu wa kosa la mauaji wametoroka kutoka mahabusu ya Polisi kituo cha Mbeya mjini (central) baada ya kuchimba,kutoboa tundu katika mahabusu walimokuwamo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Peoples power yamtokea puani mwanachama: KIJANA Aludo Sanga (28) mkazi wa kitongoji cha Nelo Kiloleni katika mji mdogo wa Tunduma wilayani Mbozi, amefikishwa katika mahakama ya wilaya kwa kosa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu naombeni ripoti ya Nyarari na Kisanga, nitumieni kwenye pilato_tony@yahoo.com Au niambieni wapi pa kupata
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watuhumiwa wa mauaji watoroka mahabusu Thursday, 22 March 2012 20:31 Godfrey Kahango, Mbeya. WATUHUMIWA wanne, wakiwamo watatu wa mauaji, wametoroka katika chumba cha mahabusu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Je kuna grace period ya muda gani mpangaji anaruhusiwa kisheria kukaa kwa mwenye nyumba baada ya mkataba kuisha? wakati akitafuta nyumba? 2. Je ni haki kudai resit ya malipo ya kodi, na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnipe experience hapa! Hapa ofisini kwangu nimeajiri Human Resources Officer hivi karibuni.Siku ya interview hakuwa na vyeti orginal na akatoa sababu kuwa hakuweza kuja navyo kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ILE HUKUMU YA JAJI DR. FAUZ Mlimnukuu vibaya: Jaji amekuaja na ufafanuzi huu: Tuesday, February 21, 2012 10:32 AM " Yesterday, I delivered a ruling in TANESCO v DOWANS that raised a couple...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
JAJI Mkuu Mohamed Othman Chande, amekosoa mfumo wa kamati za maadili za mahakimu za mikoa na wilaya kuongozwa na wakuu wa mikoa, akisema kitendo hicho kinakwaza uhuru wa Mahakama. Akizungumza...
9 Reactions
24 Replies
4K Views
Hi JF i beg to be assisted on the electronic evidence Act in Tanzania. I have tried to make a follow up by visiting government bookshops in vain. I thank you members for the ideas on how i can be...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Wana jamii: Nimetuma pesa nje ya nchi kwa mwezi mzima mpaka sasa haijafika kila nikienda naambiwa tatizo lilikuwa address, mara ya pili baada ya wiki mbili nikaambiwa tatizo ni account no. Juzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bwana Mdogo ameshinda kesi Mahakamani ya kutaka kukaa na mtoto wake wa miaka tisa baada ya mzozo na mama mtoto wa karibu miaka kadhaa!! Bwana Mdogo alipeleka malalamiko yake serikali za mitaa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dr Mutunga said it was wrong for Mr Odinga to refer to the January 13 Constitutional Court ruling on the date of the General Election as “fake” for failing to give precise date for the polls...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujulishwa; Je, maelezo anayotoa mtuhumiwa polisi yana nguvu yoyote mahakamani ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunaishi ktk maeneo yasiopiwa ni viwanja vidogovidogo, kuna majirani zangu 2 wanajenga mabar ktk maeneo yao, 2na watoto wengi sn pale mtaani, sasa je? Kuna sheria ya kuzuia, bar isijengwe ktk...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…