Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Jela miaka 30 kwa wizi wa nazi
Imeandikwa na Kennedy Kisula, Lindi; Tarehe: 26th January 2011 @ 06:18
MKAZI wa kijiji cha Kiwalala wilayani Lindi mkoani hapa, Salumu Ally (25) amehukumiwa...
Salamu wakuu,
Nadhani mwaendelea vyema katika shughuli za kila siku.
Jamani mi nahitaji msaada wa kisheria juu ya jambo moja.
Hivi kama kampuni imeuzwa; nini kinatakiwa kufanywa na mwajiri...
16. Now two prostitute came to the and stood before him.
17. One of them said, "my lord, this woman and i live in the same house. I had a baby while she was there with me.
18. "the third day after...
Hapa Watanzania ni kama tunamtafuta mchawi nani wakati wote tunajua kuwa haya yote yanayotokea yanafanywa na watanzania wenzetu ambao tunaishi nao hapa hapa nchini na tunaweza kuwawajibisha kwa...
habari zenu wana JF,
naomba mawazo yenu ndugu zangu hasa kwa kuamini kuwa hapa ni jukwaa sahihi kwa shida kama hii. kuna jamaa yangu mmoja amekuja kwangu kuniomba ushauri wa kisheria kutokana na...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imesema Aprili 29 mwaka huu itatoa hukumu ya kesi ya wizi wa sh bilioni 1.8 katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) kwenye Benki Kuu ya Tanzania...
Naomba mtu yeyote mwenye soft copy ya Income Tax Act 1973 kama anaweza kui-upload hapa. Au mtu mwenye link yeyote iliyo na hii Act.
Natangulia shukrani.
Dk Slaa, Mbowe kupanda tena kizimbani leo? Thursday, 20 January 2011 21:01
Mussa Juma, Arusha
MACHO na masikio ya waanachama, mashabiki na wapenzi wa...
Wajameni mie nashindwa kuelewa maana ya kufunga! ina maana watuhumiwa hawana kesi ya kujibu au? na kama ni hivyo zile billioni 11 zilienda wapi? Naomba kueleweshwa!
Aliyewahi kuwa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania,na wakati mwingine akitumika kama Jaji wa mahakama ya rufaa Tanzania(Acting Justice of Appeal)Dan Petro Mapigano amefariki dunia tarehe 15...
Mihimili mikuu mitatu ya dola ni executive, judiciary na legslature. Sasa hawa polisi wao wana fall kwenye judiciary. Nikitaka kushtaki chombo hiki (polisi) naanzia wapi manake kesi zote jalada...
Please take no offence, i am just suprised on what is happening in this country with issues concerning International contracts? We always loose as a result of failing to negotiate or being forced...
Kesi ya Mengi yapigwa kalenda
na Happiness Katabazi
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, jana ilishindwa kuanza kusikiliza kesi ya kashfa ya madai iliyomkabili...