Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari wakuu kuna ndugu yangu anashida ya kujua ni utaratibu gani unatumika kubadili au kufuta details za NIDA ili afungue na kuweka details zingine katika kitambulisho cha taifa. Asanteni
2 Reactions
5 Replies
3K Views
wataalamu wa sheria naombeni mnifahamishe hii imekaa vipi!? huyu binti alishirikiana na mganga kumuua mama yake na kuufukia mwili wa mama yake nje ya nyumba yao,alikamatwa na polisi walifika...
1 Reactions
10 Replies
787 Views
kisheria, vijiji vinavyozunguka mgodi inatakiwa vitengewe asilimia ngapi au fedha kiasi kwa ajili yamaendeleo kila mwaka?
1 Reactions
1 Replies
343 Views
Hivi file linaweza likapotea mahakamani na kama halionekani hatua gani inafata? Kwa kifupi Mama yangu alikua ana kesi yake ya nyumba takriban imeenda miaka Tisa na mwaka jana mwezi wa tisa...
0 Reactions
5 Replies
990 Views
Habari wadau Mimi natafuta wakiri aweze kunisaidia maswala yangu binafsi mana nahisi kuna uonezi fulan
0 Reactions
8 Replies
744 Views
MABADILIKO MAPYA YA SHERIA, BILA UPELELEZI KUKAMILIKA HAKUNA KUPELEKA KESI MAHAKAMANI. Na Bashir Yakub. WAKILI. +255 714 047 241 Mabadiliko muhimu ya Sheria yanakuja kupitia muswada wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu Habari Ya Mawio. Wakuu Neno Nolle Prosequi ni neno la kilatini linalomaanisha hati ya kisheria ya nia ya kutoendelea na mashtaka dhidi ya mtuhumiwa Yaani To be unwilling to pursue Sasa...
1 Reactions
4 Replies
778 Views
SIKU YA VIJANA DUNIANI IWE CHACHU YA KUZITAMBUA, KUZIANISHA NA KUPINGA SHERIA ZINAZOMINYA DEMOKRASIA YA UCHAGUZI KWA VIJANA IKIWEMO VIJANA WENYE UMRI KATI YA MIAKA 18-21 KUGOMBEA NAFASI YA UBUNGE...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Kwenye sheria kuna objections (mapingamizi), kama ukikosea au ukishindwa kufata utaratibu wa kufungua kesi au kuwasiliana na Mahakama, basi unaweza kukumbana na pingamizi ambalo litapelekea kesi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KESI YA MIRATHI ILIYODUMU MAHAKAMANI KWA MUDA WA MIAKA 30: Kwa nini hii kesi ilichukua muda mrefu hivyo kuisha? (Na hadi sasa haijaisha, kwa sababu aliyekuwa msimamizi wa mirathi kwenye hii kesi...
9 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
MALI ZA MTU ALIYEPOTEA ZINAWEZA KUGAWIWA KWA NJIA YA MIRATHI. Ikiwa ndugu yako, mme, mke, mtoto, kaka, dada nk.amepotea kwa kipindi cha Miaka 7 na hakuna taarifa zozote kujua aliko, basi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimeajiliwa kwenye kampuni flani Kuna kosa lilitendeka likafanyiwa uchunguzi na nikaitwa kwenye kamati ya kikao cha nidhamu yenye wajumbe 6 waliokiwepo kwenye kikao hicho, lakini...
0 Reactions
5 Replies
914 Views
Habarini wakuu, naomba niende moja kwa moja kwa mada. Je kesi ikifutwa chini ya kifungu namba 255 kwa sababu ya kukosekana kwa ushahidi, je statement/s iliyokuwa imeshapokelewa na Hakimu kama...
0 Reactions
4 Replies
909 Views
Leo tuangalie kama copy (nakala/vivuli) vinaweza kupokelewa na kutumika kama ushahidi Mahakamani. Au, je ni lazima upeleke original tu? Kiujumla, ushahidi wa nyaraka (documents) unaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iko hivi kuna rafiki yangu alikopa kwenye hizi microfinance kwa makubaliano ya kulipa baada ya mwaka mmoja na aliweka nyumba kama dhamana ,lakini mambo yalimwendea ndivyo sivyo pesa...
1 Reactions
5 Replies
587 Views
Habari, naomba msaada wa wa haki ya mtoto kutoka kwa baba yake. Mahitaji ya mtoto pamoja na ada. Ni mahakama gani natakiwa kwenda. Asante
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Wanajamvi naombeni msaada wenu wa kisheria katika hili. Iko hivi nina mdogo wangu wa hiari (tumekutana kazini sina vinasaba nae) mnamo mwezi wa nne alisimamishwa kazi. Hivyo kutokana na...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Wapendwa naombeni msaada wa kisheria Binti yangu kapewa ujauzito na mwanafunzi mwenzie wanayesomanae kidato cha 3 baada ya kumuuliza akamtaja huyo kijana nikamchukua binti mpaka shuleni...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
wakuu naomba ushauri wenu wa kisheria juu ya huyu mdogo angu ambae ni muajiriwa wa taasisi ya umma, alijaza mkataba wa mkopo kutoka taasisi fulani na maafisa wa iyo taasisi akaambiwa kipengele cha...
0 Reactions
2 Replies
478 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…