Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
wanajamii naombeni msaada, kuhusu Tax Law hasa kwenye ishu ya property, je ni kweli kwamba mstaafu
kwa hapa tanzania yupo exempted kulipa kodi kwa mapato yatokanayo na rent ya nyumba yake...
Juma tatu na interview y alegal clerk......hivi wanaweza wakauliza maswali gani......halafu kampuni ina sheria nyingi yaniinafanya kazi kwenye vipengele kama 10 vya sheria inamaana watauliza...
Habari wakuu mimi nipo nje ya nchi naomba Katiba ya kwetu Tanzania inayozungumzia mahakama ya Kadhi na uhalali wake na pia kama mtu anakatiba za Tanzania ambazo iliyofanyiwa marekebisho na...
JAJI wa Mahakama Kuu, Fredrica Mugaya amemtahadharisha Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Dk Maua Daftari kuwa hata kama akifanya mbinu ya ucheleweshaji, hukumu ya kesi dhidi...
Wakuu nina tatizo moja kuhusu sheria za kazi hususani hapa kwetu Tz.
Sijui kwingine zikoje lakini nafahamu kuwa wengine hufanya kazi kwa mikataba ambapo ukiisha kila upande una hiari ya...
Viongozi
Nimekutana na kizungumkuti weekend hii nilipoenda kwa serikali ya mtaa kuomba wanijazie form flani na si mgeni kwenye mtaa ule na viongozi wananifahamu. Lakushangaza nilielezwa nipite...
Sheria inasemaje inapotokea mwanaume ameishi na mwanamke kwa kipindi cha mwaka na wakazaa mtoto? Uhusiano wao hapo awali ulikuwa ni wa kirafiki zaidi kwani watu hawa hawakufunga ndoa ya aina...
A Christian street preacher was arrested and locked in a cell for telling a passer-by that homosexuality is a sin in the eyes of God
By Heidi Blake
Published: 1:05PM BST 02 May 2010
Dale...
Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imekubali ombi la upande wa mashitaka...
Editorial Cartoon
Ipo tabia moja isiyopendeza ambayo inaonekana kujirudia katika jamii yetu. Ni matukio matatu sasa ambayo yameripotiwa ambapo walimu...
Salama wana JF!Niliuziwa kiwanja mbele ya adv. Kwa kupitia bank, kumbe hakina njia (sala2,DSM)nikatoa adv.20m,muuzaji amenizungusha,sasa sikitaki nataka mwanasheria atakaye recover hy pesa nimpe 2m.
Naomba kufahamishwa kuhusu uingizaji wa malori nchini kutegemea miaka ya gari. Je ile sheria ya kuingiza magari yasiyozidi miaka 10 nchini nayo inahusu malori ya kubebea mizigo? Natanguliza shukrani.
Hivi ni nini maana ya mwanasheria?.Je kuna kiwango cha elimu mtu anatakiwa afikie katika hiyo sheria ili aitwe mwanasheria?,Je watu wote wanaofanya kazi katika field hiyo ya sheria hata kama wana...
A Murder Mystery : A must read
For those who have served on jury...
this one is something to think about...
Just when you think you have heard everything!!
Do you like to read a good...
K agoma kusaini sheria mpya
*NI YA KAMPUNI ZA SIMU KUJISAJILI SOKO LA HISA DAR
Ramadhan Semtawa
BAADA ya kusaini Sheria ya gharama za uchaguzi ambayo imegubikwa na utata, Rais Jakaya...
KATIKA hali ya kuonekana kuna msongamdano wa wafungwa gerezani hali iliyopelekea kuwea keo serikali imeamua wafungwa hao kutumikia kifungo cha nje ili kuepuka msongamano huo...