Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

MAKOSA YA JINAI CHINI YA SHERIA YA TAKWIMU. Mr. George Francis. 0713736006 mr.georgefrancis21@gmail.com Habari ndugu mtanzania, Karibu tuwe pamoja katika kusoma na kufahamu makosa ya jinai...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasalaam wanajukwaa, Ilikuwa mwaka jana (2021) mwezi wa tisa nilipochukua fomu ya Tanesco kuomba kufungiwa umeme kwangu, walinipatia bila masharti yeyote nilijaza na kuwarudishia tatizo lilianzia...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wanasheria, naomba msaada namna ya kusajili ministry, ya maombi na ushauri, tafadhari naomba msaada wataalam wa sheria nafahamu kwamba mnayajua haya sana. Ni hatua gani zinatakiwa na...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Ramani za miji kwa maeneo yaliyopimwa ni public document. Migogoro mingi ya ardhi inakuwepo kutokana na double allocation. ( Ardhi moja kuuziwa kwa watu wawili). Itungwe sheria itayopelekea...
1 Reactions
8 Replies
827 Views
Can State Attorneys and lawyers in the public service be Enrolled in the Roll of Advocates and Practise as an Advocate or as a Notary Public or Commissioner for Oaths? Je, Mawakili wa Serikali...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar viongozi, Msaada tafadhari mimi nililelewa na baba wa kambo na nikatumia majina yake kupata nida baadae Baada kupata taarifa ya baba angu mzazi ikanibidi nitumie majina yake sasa nilisoma...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Hati ya Mashtaka inapoandaliwa na mamlaka isiyo halali kisheria hapo inakuaje? 2. Hati ya Mashtaka ambayo imerejea vipengele vya kisheria visivyo sahihi, hili nalo kisheria limekaaje...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari za leo wana JF wenzangu. Hivi raia akitoa taarifa za uhalifu kwa siri katika maeneo yake kwa mamlaka inayohusika na kupokea taarifa hizo, akakuta taarifa ile imesambazwa na mpokea taarifa...
5 Reactions
9 Replies
950 Views
Mfano mtu alioa mke akazaa watoto na mke wa kwanza na kwenye uhai wao wakapata na Mali ,then baadaye mke wa kwanza akafa ,na mume akaoa mke wa pili Kisha baadae huyu mume anafariki je kwenye...
0 Reactions
1 Replies
439 Views
Serikali idara ya ardhi for that matter, hutenga na kupanga matumizi ya ardhi ie maeneo maalum ya ardhi kwa shughuli kama viwanda, masoko, makazi, kanisa/misikiti/cemetries etc etc. Wanafika...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama ilivyowekwa bayana na Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Tanzania Posts Corporation Vs (dhidi ya) Dominic A. Kalangi, Rufaa ya Madai na. 12, 2022. Mwandishi: Zakaria Maseke (Advocate...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Natanguliza Shukrani kwa jinsi kila mwenye kujua masuala ya sheria ata saidia hili suala. Mimi siyo mjuzi wa sheria lakini naomba kujua yafuatayo:- Kuna mtu alipata birth certificate kwa jina...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
========= ILANI: Makala hii hailengi wale wasio na leseni kabisa. Aidha, unashauriwa kupiga picha leseni yako ili angalau uwe na kumbukumbu ya namba ya leseni ========= Kusimamishwa na trafiki...
72 Reactions
145 Replies
41K Views
Michezo yote ya kubahatisha (kamari) ikiwemo betting, slot machines inaendeshwa kwa mujibu wa sheria ya Michezo ya Kubahatisha namba 4 ya mwaka 2003 sura ya 41 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu leo asubuhi hii waliopita barabara ya Airport (Pugu road) ni mashahidi kuwa pana foleni ndefu kwa sababu ya misafara ya viongozi, awali alipita Makamu wa Rais, baadae kidogo kukawa na foleni...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Gari imepigwa tochi ya 90. Ila gari inayo king'amuzi na ikifikisha speed 85 kinatoa sauti. Polisi wanasema ni kosa tumezidi 80na wametupiga faini. King'amuzi ni kizima hakijawahi kushikwa na speed...
0 Reactions
2 Replies
470 Views
Hivi kwenye sheria zetu za kazi hapa Tanzania huwa kuna kosa la "Kusudio la Kuiba?" Kama lipo je, mazingira yake ni kama yapi?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini wabobezi wa hili jukwaa, kuna binti wa shem wangu amesoma shule hadi f4 kutumia majina ya babu yake cause alilelewa na nyanya yk, cheti cha kuzaliwa kinasoma majina ya baba yke mzazi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani aliniuzia kitu flani kama miezi miwili hivi iliopita. Tuliuziaba tu kienyeji hapakua na shadihi yoyote wala kuandukiana. Sasa hicho kitu ambacho aliniuzia nikataka...
2 Reactions
2 Replies
567 Views
HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI. [PLEASE USIACHE KUSOMA HAPA] Kazi za ndandani ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba. Mfano: usafi wa nyumba, kufua, kupika, kulea watoto...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…