Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wanasheria au Mawakili hawako juu ya Sheria, bali wanaweza pia kushtakiwa kama mtu mwingine yeyote. The legal Framework Governing the Conduct of Advocates in Tanzania (Sheria zinazosimamia...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Procedures, how to challenge consent judgment (namna ya kupinga hukumu iliyotokana na makubaliano yenu wenyewe) Kama ilivyofafanuliwa na Mahakama kwenye kesi ya “Arusha Planters & Traders Ltd and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nini maana ya STABILIZATION CLAUSE? Stabilization clause ni Kifungu kwenye mkataba wa uwekezaji ambacho kinazuia upande mmoja (Serikali) kutunga au kufanya marekebisho ya sheria yanayo affect...
1 Reactions
1 Replies
591 Views
Tunakumbushana tu, Kwahiyo Kesi iliyofunguliwa na akina Halima Mdee na wenzake imekosa "hadhi" ya kisheria. Kimsingi Halima Mdee na wenzake wanakubali kuwa Wamevuliwa uanachama LAKINI isivyo...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Wadau naombeni kujua ni vigezo vipi au sheria zipi zinatumika kuhusu kuwahifadhi wageni katika nyumba yako. Nina nyumba yangu nahitaji Ku host volunteers naombeni kujua ni taratibu zipi...
1 Reactions
3 Replies
664 Views
Wasalaam,, Kuna majirani zetu hapa dar es salaam wananyumba imekaa mjini kabisa,,nyumba hiyo ina thaman zaid ya mil 600,,sasa ipo hivi Hiyo nyumba kwasasa inamilikiwa na wajukuu,,,,, aliyejenga...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Naongea kwa niaba ya aliekujabkuniomba ushauri! Nilikua kwenye mahusiano na kaka mmoja tangu 2014, mwaka 2016 tukaanza kuishi pamoja bila kufunga ndoa lakini ukweni tulitambulishana, wakati...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
NATIONAL MICROFINANCE BANK LTD (NMB) VS (DHIDI YA) NEEMA AKEYO, CIVIL APPEAL NO. 511 OF 2020, CAT. Mwandishi: Zakaria Maseke Advocate Candidate Hii kesi inahusu mfanyakazi (Neema Akeyo) ambaye...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Msaada ndugu zangu, Kuna mtu anamtumikisha mke wangu kwa kumtishia kurusha picha za uchi za mke wangu mtandaoni. Naomba mnisaidie ni wapi nianzie kumdhibiti huyu
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujuzwa hii imekaaje kisheria , endapo nimempangisha mtu chumba akakitumia kwa muda mrefu bila kunilipa kodi na hakuna mkataba wa maandishi tuliofanya, Je, nguvu ya kudai malipo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mzungu mmoja ni raia wa Italy Sina uhakika kama kweli katokea Italy . Huyu mzungu anaishi maeneo ya sanawari ya juu amefungua shule feki inaitwa New bridge pre-school . (Zamani iliitwa SAMENA...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Shule nimemaliza na majina mawili mfano yani ALLY JUMA ndio ipo kwenye vyeti ila kila napoambiwa kujaza jina la tatu uwa naliweka katikati ili JUMA iendelee kuwepo mwisho yani; ALLY KASSIM JUMA...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naitwa DERICK REUBEN MBUYA kwa cheti cha kuzaliwa. Lakini vyeti vyangu vyote vya shule vimeandikwa DERICK R MBUYA. Manake Jina la kati limefupishwa kama R. 1. Nimefanya Applicationza chuo kupitia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
- Money laundering to remain unbailable - Introduces counter terrorist financing and counter proliferation financing - Beneficial ownership definition to be expanded - Even 5% shareholding is...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari..... Nimekuwa ni msomaji tu wa JF kama guest. Lakini baada ya kunikuta nikaona nijiunge nipate msaada maana hapa hakuna kinachoshindikana, Iko hivi nina mwanangu wa kiume umri miaka...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari wana jamvi. Ninahitaji msaada wa kimawazo na hasa kisaikolojia na sheria, sitamani kuyaandika hapa ila mwana sheria na mwana saikolojia yoyote tafadhari naomba msaada wako inbox
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Imeandaliwa na kuletwa kwako na Zakaria (lawyer by profession). Leo napenda tujifunze “Pecuniary Jurisdiction” 💸 ya Mahakama mbalimbali nchini Tanzania. 🇹🇿 Awali ya yote, tufahamu nini maana ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau Nawasalimu.Naomba kufahamishwa Juu ya HATUA ambazo MAHAKAMA itazichukua Dhidi ya AFISA wa Serikali au TAASISI yake ambayo ni HALMASHAURI ya Mji Kugoma kutekeleza HUKUMU iliyotolewa na...
0 Reactions
2 Replies
700 Views
Habar wana jukwaa Natumai humu kuna wabobez wa sheria hivyo nilitaka kujua hii ni kes gan kisheria na hukumu yake ikoje Iko hivi kuna jamaa yangu ana mtoto wa miaka miwili na muda mwing...
0 Reactions
8 Replies
694 Views
Wadau, naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwajiri private (kampuni) ambapo mwajiriwa (wafanyakaz wote kwa ujumla hawana mikataba ya kaz) hajapewa mkataba na amefanya kaz zaid ya miaka 3.....+...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…