Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

habarin za jion Wana Jf Naomba kuulza hiv Makamishina wa Tume ya utumish wa umma ua wanateuliwa na rais baada ya muda gan? na tufaa ukaa Tume kwa muda gan ikisubir kuamuliwa Sent from my Infinix...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu wajuzi wa sheria, naomba mnisaidie kujua mambo haya; 1.Hivi mtu ukiwa mwalimu tu, ni lazima uwe mwanachama wa CWT? 2.Sija wai kukubali kujaza Form no.6, na wananilazimisha kujaza na...
3 Reactions
59 Replies
11K Views
Katika mizunguko ya dunia, Rafiki yangu alileta mwanamke kwake (mpenzi) si unajua mambo ya Vijana tena. Sasa kwa maelezo yake ni kwamba huyo mwanamke ambaye wamefahamiana kama miezi minne hivi na...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Natafuta Mwanasheria aliyepo wilaya ya chunya kwa ajili ya kusimamia Kesi Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
595 Views
Hapa nilipo baba yangu mkubwa alifariki miaka zaidi ya ishirini iliyopita akamuacha mama mkubwa na watoto wake saba.Pia katika kipindi hicho baba mkubwa alizaa watoto wawili kwa mama...
1 Reactions
9 Replies
864 Views
Kumekuwepo na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea kuwa marehemu alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti...
5 Reactions
105 Replies
45K Views
Hivi mtu ukiwa Na cheti cha ndoa Na mtu akikuchukulia mkeo Bila wewe kumpa talaka Sheria inasemaje juu ya ilo? Nitalipwa au nitapigwa Na kitu kizito kichwani?
0 Reactions
2 Replies
652 Views
Nabii Mwingira alinunua Shamba la Milonje Rukwa plot 48/1 lenye ecari 25,000 kwa gharama ya Tshs 600M kwa kusaidiwa na aliyekuwa RC Olenjorai. Hata hivyo baada ya kufanikiwa rushwa hiyo Nabii...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
ndugu wana jf; naombeni msaada wa kisheria kuhusu kujiunga na vyama vya wafanyakazi katika haya yafuatayo: 1.kujiunga na vyama vya wafanyakaz n lazma au hiari? 2.kukatwa mshahara kwa ajili ya...
2 Reactions
5 Replies
7K Views
UGONI NI NINI KISHERIA? Leo nitaelezea kwa uchache sana juu ya suala la Ugoni, moja ya jambo linalofanyika sana kwenye jamii zetu. Kumekuwepo na jambo linaloitwa ugoni (Adultery) ambalo kimsingi...
3 Reactions
3 Replies
4K Views
Mimi nilipata ajali ya gari wakati niko kazini nikavunja mkono ajari ni uzembe wa mwajiri alikuwa akitumia gari la mizigo kama staff buss na siku ya ajali aliendesha gari raia wa kigeni asiye na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
TAMBUA MABARAZA YA KATA HAYANA MAMLAKA YA KUSIKILIZA NA KUAMUA MIGOGORO YA ARDHI TENA. Na Comred Mbwana Allyamtu(CMCA) Sunday-01/05/2022 Sumbwanga, Rukwa, Tanzania Leo itupendeze tutajadili...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Tafadhali kama kuna mtu anayeweza kunisaidi soft copy ya katiba ya RAAWU (The Researchers, Academicians and Allied Workers Union). anomba anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Isabela na wenzake 67 wanaushirika kwenye kampuni ya kitalii huko Venezuela. WakiJua kabisa Tanzania invavivutio vingi vya utalii basi wamewiwa kuJa kuwekeza Tanzania kwenye sekta hiyo ya utalii...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Naomba nifahamishwe hili la KESI ya MBOWE kufutwa, au DPP kutokuwa interest na KESI, Swali langu ni Je Vielelezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe? Kama vitarudishwa. Je AKINA Bwire...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Wanabodi, Japo ile clip ya Rwakatare kwenye Utube ni "bonafide genuine", nikimaanisha ni video ya ukweli na sio ya kupikwa au kufanyiwa maujanja yoyote, bali kwa mujibu wa sheria zetu za ushahidi...
7 Reactions
88 Replies
10K Views
Wadau kumekuwa Na Tabia ya Polisi kumkamata Mtu na ndugu na Jamaa zake Wakitaka kujua sababu ya ndugu yao kukamatwa na Alipo POLISI HUKATAA kuwa hawajamkamata na Baya zaidi hata Mahakamani...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Bado haieleweki vema kwamba Freeman Mbowe ameachiliwa katika misingi gani haswa, ukiachilia mbali sheria iliyompa mamlaka DPP kuamua kutoendelea na kesi. Kwa mfano, Dr Akandunduma anadai kuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naanza na kutoa Pole kwa watanzania wote, hasa ndugu jamaa na marafiki wa karibu wa Kanumba The Great (R.I.P) kabla sijatoa mchango wangu kuhusu hili jambo zito na nyeti ambalo limetawala...
35 Reactions
218 Replies
37K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…