Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nasema hivyo kwa sababu inajulikana tangu dunia ya sheria iwepo, kuwa POINT OF LAW ON JURISDICTION CAN BE RAISED AT ANY STAGE OF THE TRIAL/CASE.
sasa angalia waheshimiwa majaji wa Rufaa...
Wakuu simu yangu imejifunga network hata nikiweka line sawa na bure na inaniandikia SIM network unlock pin na haina tatizo jingine msaada kwa wajuzi wa hii kitu aina ya simu ni Samsung s6 + edge..
Habari Ndugu naomba mwongozo katika uandishi wa wosia.Marehemu kaacha wosia kama ifuatavyo.
Marehem alikua na watoto 4 na kwa mke mmoja, wosia ukaaandikwa Mali zake zigawanywe kwa watoto 3 (majina...
Endapo nitaandika wosia kuhusu jinsi gani Mali zangu zigawanywe kwa wategemezi wangu kama mke watoto na ndugu!
Mfano:
Nina watoto wanne kwa mke mmoja na katika wosia wangu nikaeleza kuwa Mali...
Jamani wandugu,
Mimi mimi ni mwananchi wa kawaida, naomba kuuliza hiki kitu wanaita "Prenap" wenzetu kwetu inaweza kufanyika hapa Tanzania?
Prenuptial agreement, meaning before you take vows. It...
Wakuu naombeni msaada wenu.
Kuna mtu nilimkopesha pesa akakwama kulipa. Akaja akaomba kuwa kakwama nikaita mashahidi akaomba mwaka mzima ndio awe amelipa hiyo hela na juzi baada ya mwaka kupita...
Wakati nchi kuna upungufu wa ajira ni Chadema na baadhi ya viongozi wasema kweli wachache CCM wamejitokeza kutetea kundi la vijana.
Wakati kumekuwa mtikisiko wa kiuchumi imebaki Chadema na Zitto...
Mara nyingi ajali zinazowahusu polisi...huwaga hazina taarifa za ziada...pale inapotokea gari ya polisi imepata ajali yenyewe...wala hawasemi labda chanzo cha ajali ni UZEMBE WA DEREVA(Askari...
Kuna sehemu Fulani walitangaza nafasi za kazi. Jamaa yangu akaomba, na siku ya usaili aliitwa na kufanya usaili. Matokeo yalitoka mazuri kwani aliandikiwa barua ya kushinda interview kwa nafasi...
Salaam wakuu,
Niende moja Kwa moja kwenye mada. Katika shughuli zangu za ujenzi nimebahatika kupata kazi moja ya ujenzi Wa jengo la hospitali ya wilaya flani hapa nchini, ndo Niko katika hatua za...
Kwanini tunaita Sura katika sheria za Tanzania hata kwingineko. Ninavyojua Sura ni chapter katika kitabu, sasa ina maana sheria zetu zina kitabu kimoja?
Hivi wakuu mpaka sasa majaji wako wangapi Tanzania hii?
pia yale magari sijui Jaji 1,Jaji 30 sijui ngap ngap huko yote yanatumia mafuta kulipiwa na serikali?
Pia mishahara yao ipoje jaman? mana mh
Habari za majukumu wakubwa na wadogo... Naomba leo tujuzane baadhi ya sheria za Nchi hiyo ikiwa kuna mtu anajua zaidi aongezee ili tupate kuzifaham zaidi. Na pia naruhusu kukosolewa ikiwa kuna...