Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kuna ndugu nilimkopea pesa akafungwa na kutoka lkn makubaliano ilikuwa pindi anatoka anilipe pesa yangu lkn sijapewa .nilipoenda mahakamn nikajibiwa nimtafute mtuhumiwa nimpeleke mahakaman ili...
0 Reactions
1 Replies
577 Views
Habari wakuu Naomba mnisaidie mfanyakazi anawezaje kujifukuzisha kazi? Mimi sijaenda kazini siku 10 nilikuwa na matatizo ya kifamilia nilimjulisha msimamizi wangu wa kazi juu ya hili. Cha...
2 Reactions
50 Replies
9K Views
"Wanajamvi naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu wa kisheria anisaidie" Kuna mtu nilimwekea dhamana mahakama ya mwanzo kwa kosa la jinai ya kujipatia mali/huduma kwa udanganyifu baada ya kutoka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya kumdai hela yangu kwa mda mrefu bila mafanikio nikaamua kwenda kwa Mtendaji. Sasa kaniambia kwa hasira mbele ya Mtendaji kuwa hivi sasa hana ela atanipa mwezi wa kumi na moja. Nimeumia...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Habari, Kuna Ndugu Yangu amesimamishwa Kazi Kwa Kosa La Kuingia Kazini Akiwa Amelewa, Je Kisheria Ikoje, ni Nani Mwenye Mamlaka Ya Kujua Kiwango Cha Ulevi?
0 Reactions
1 Replies
36K Views
Habari wanajamvi? Natumaini mko salama. Kama kichwa kisemavyo mwaka jana mwez kama wa 8 nilijiunga na kampuni ya uwekezaji sky investment baada ya kuona uzi huku na pia nikaridhika na njia zao...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu na wasalimu! Baomba kujua gharama kusoma school of law kwa anaye fahamu
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wana jamii hivi unaweza kujiunga na degree ya sheria ukiwa na diploma ya community development,,,,,,kama inawezekana ni chuo gan?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ipo hivi; Rafiki yng alikamatwa na kukaa mahabusu Kwa miaka 14 Kwa kesi ya kusingiziwa.Ametoka amefungua kesi ya fidia na anadai ameshinda malipo yake ni million 140. Sasa utata ni kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu naomba kujua kwa Limited Company ambayo imechelewa kulipa makadirio yake ya mwaka, penalty yake inakuwa calculated vipi?
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Assalam alleykum! Habari zenu? Ndugu zangu naomba msaada wa namna ya kuandika nakala ya Wakfu. Mzee wangu ameamua kutoa eneo lake (kiwanja) kwa ajili ya wakfu, sasa nahitaji mwongozo huo kisheria...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimefuatilia sana hukumu be it rulings/judgements za waheshimiwa majaji wa Rufaa linapokuja suala la tafsiri ya Court of appeal rules, nimeona hakuna consistency. Hii inatokana na scenario kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Ukisoma judgements za kesi za court of appeal kuna kulipua kwa aina fulani. Awamu hii majanga kila mahali. nenda kasome kesi za 2019 zlizoamuliwa. Ni maoni yangu.. nalinganisha na majaji wa rufaa...
0 Reactions
2 Replies
790 Views
Habari wana Jamii forum,Naomba msaada wa kisheria,,kuhusiana na sheria za Kazi na Ajira,,,,sina pesa ya kumlipa ila nikifanikiwa atanufaika kwa kufanikiwa kwangu,,,mwenye wito wa msaada plz anichek DM
0 Reactions
4 Replies
2K Views
..Prof.Kabudi amefundisha wanasheria wengi nchi hii, wakiwemo wabunge na majaji. ..sasa ametoa madai kwamba ktk nchi za Marekani na Uingereza, kukwepa kodi ni kosa kubwa kuliko kuua. ..pamoja na...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
  • Closed
Habarini wakuu Naomba msaada kisheria a mawazo badala kuhusu mpangaji wangu,mnamo mwaka Jana kuna kijana alipanga Chumba nyumbani kwangu,mm sikuwepo wakati huo(nilikua mkoa mwingine kikazi)hivyo...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanasheria Msaada tutani, hivi kwa mfano nikawa naishi na mwanamke mwenye kipato kunizidi, yani mimi mwalimu wa shule ya msingi na yeye akabahatika kuwa mbunge. Kabla ya kua mbunge tulikua...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nilikuwa Dar Es Salaam kwa muda wa week moja, nilikaa Atriums Hotel na nikaibiwa night ya nne, niliibiwa chumbani usiku wa saa 3 wakati nikiwa restaurant nakula hapo hapo hotelini... Niliibiwa...
5 Reactions
91 Replies
17K Views
Naombeni msaada hivi kumrekodi mtu akiwa anaongea bila ridhaa yake Ni kosa kisheria??
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Msaada jamani wanajukwaa, Kuna mfanyakazi wa umma kaajiriwa na barua yake ya ajira (mkataba), inasema kipindi cha majaribio ni mwaka mmoja. Kafanya kazi mwaka 1 umeisha, mwaka wa 2,3,4 imepita...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…