Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Msaada wa kisheria ni jambo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji sawa wa haki kwa wananchi wote wa jamii. Nchini Tanzania, Sheria ya Msaada wa Kisheria inatambua dhana ya “watu maskini,”...
3 Reactions
3 Replies
803 Views
Nauliza kuna uwezekano huo? Wanasheria akina madeleka, Mwabukusi, is that possible? mbona wana uwezo wa kukamata ndege? au kwa vie these are civil engagements?
1 Reactions
2 Replies
242 Views
Wanasheria je naweza kuishtaki mahakama?
2 Reactions
6 Replies
314 Views
The Closure of EFD Machines and its Impact on Tanzanian Taxpayers The Tanzania Revenue Authority (TRA) holds a vital role in our nation's progress, tasked with the essential duty of collecting...
1 Reactions
0 Replies
194 Views
Natumaini wote tuko poa. Wajuzi wa sheria msaada, nina jamaa yangu mwanae kakutwa na kesi ya kulawiti watoto wenzake, kwa wajuzi wa sheria hukumu ikoje maana huyo mtoto yupo darasa la 4! Pia...
1 Reactions
17 Replies
981 Views
Habari wa JF, Naomba msaada wa kisheria nifanyeje hili swala. Niliomba mkopo bayport tar 25/4/2024 na makato yakapita kwa utumishi tar 2/5/2024 cha ajabu up to now hawajaingiza hela kwenye...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Nauliza kama kisheria inawezekana kufufua kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili Mbowe na wenzake. Je, ili kesi ife inatakiwa ichukue miaka mingapi?
0 Reactions
3 Replies
548 Views
Nauliza, Je nikosa kisheria kutumia mtandao wa internet wa Nchi nyingine ndani ya Tanzania Kwa matumizi binafsi?
1 Reactions
4 Replies
530 Views
Nimemshuhudia mara kadhaa, akitunushiniasha misuli na mawakili na hata kuwatamkia maneno yasiyo ya kistaarbu mbele ya wateja wao. Najiuluza, kama Kuna tatizo mahala, hakuna namna nyingine ya...
0 Reactions
1 Replies
211 Views
wadau habari msaada tutani... JOB tupo kama mtu tano tunahitaji kuanzisha kikundi cha maendeleo ila tunataka kukisajili kisheria ili litakapotokea lolote kila mtu awe na haki sasa changamoto...
2 Reactions
0 Replies
172 Views
Ndugu zangu naomba mwenye sheria za baraza la michezo anisaidie. Namaanisha zinazotumika kusajili na kuendesha vyama vya michezo
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Habari wadau, Ninafanya kazi shirika fulani tukapewa likizo ya siku 28, siku ya moja kabla ya kurudi kazini nikapewa notice of termination ya siku 30, ikieleza shirika husika linapitia financial...
7 Reactions
50 Replies
2K Views
Justice into the Ground! Is the Legal System and Lawyers Failing Tanzanians? By Obadia Kajungu, Esq. We, as lawyers, are the main obstacle to justice in Tanzania. We have failed to uphold the...
2 Reactions
1 Replies
272 Views
Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru Habari wana jamvi, awali ya yote nimesikitishwa sana na habari tajwa hapo juu👆 kwani nimejiuliza, je kama menager wa hoteli kubwa...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanabodi, Utangulizi: Hizi ni makala elimishi kutoa elimu ya uraia kwa watu wa kawaida kuijua katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977. Mtoa Mada ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na...
10 Reactions
10 Replies
3K Views
Huu ndio utaratibu kwa kumchukua (kamata) mwanajeshi wa JWTZ ambaye anashikiliwa kwenye mahabusu ya Kijeshi iliyo ndani ya Kambi ya Jeshi na kumleta kwenye mahabusu ya muda (temporary custody) ya...
5 Reactions
6 Replies
667 Views
Kimsingi Mahakama ndiyo chombo pekee na cha mwisho cha utoaji haki katika Jamhuri ya Muugano wa Tanzania kama ilinavyoainishwa katika Ibara ya 107 (A) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
2 Reactions
0 Replies
467 Views
Mimi ni Mtanzania mwezenu, nimeandika na kuweka katika jukwaa hili ili niweze kujengewa uwezo na ushauri na yeyote atakayeguswa na habari yangu; kama kuna sehemu haitaeleweka nipo kwa ajili ya...
33 Reactions
225 Replies
10K Views
48 Laws of Power LAW 1 NEVER OUTSHINE THE MASTER JUDGMENT Always make those above you feel comfortably superior. In your desire to please and impress them, do not go too far in displaying your...
4 Reactions
2 Replies
536 Views
MTAZAMO WANGU WA KISHERIA BAADA YA KUWEPO MAWAKILI WA UTETEZI WA KESI YA UBAKAJI NA ULAWITI KWA BINTI WA YOMBO DOVYA. ITAKUWA KESI NGUMU KWA JAMHURI KUTHIBITISHA BILA SHAKA YOYOTE ILI WASHITAKIWA...
0 Reactions
7 Replies
506 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…