Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?
Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za...
Mbwembwe za kumtumia Mwijaku na Yale Makamera, Lengo lake Sasa ni hili la CCTV Kwa zaidi ya Milion 500 .
Hapo anajua Kamtekenya Mama, kwahiyo Hatoulizwa hiiii gharama vipi?
Sawa ni Cameras...
Katibu wa jumuiya ya Wazazi Ally
Hapi amewataka vyama vya upinzani kuacha visingizo vya kukimbia mapambano ya uchaguzi kwani mabadiliko wanayoyataka wapinzani tayari Watanzania wameshayapata...
Huu Ndio udhaifu mkubwa aliouonyesha Freeman Mbowe kama Mwenyekiti Mtendaji wa Chadema
Zile Nafasi zilikuwa ni za Chama na siyo za akina Halima James Mdee na wenzake 18 kama individuals
Huu...
Wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ambako pia wananchi watapata nafasi ya kuchagua wabunge watakaowawakilisha kwa miaka mingine 5, tunashashuhudia viongozi wakianza kutangaza nia na kuahidi...
Kwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na...
Amesema kuwa ameona taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa Katibu huyo,
Soma: Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe...
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi, amevitaka vyama vya upinzani kuacha visingizio na kushiriki kikamilifu katika uchaguzi, akisisitiza kuwa maendeleo yaliyotekelezwa na Rais Samia...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud T. Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini, Mhe. Nicole Providoli yaliyofanyika katika ofisi...
Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru.
Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe.
Amesema kuliko...
Lissu ameeleza kuwa hakuna mpasuko kwenye chama chao na pia amesema wamefanya uchaguzi wa kihistoria kwa mara ya kwanza katika historia ya chama chao kwa takribani zaidi ya miaka 30.
Ameeleza pia...
Wakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super...
Msako Maalum wa kumtafuta Amani Katibu wa bavicha aliyepotea mkoani Mwanza utaanza Wakati wowote ukiwashirikisha Chadema, Polisi na family ya Amani
Jambo TV
Ahsanteni sana 🐼
Ni wazi Congo ya Mashariki wanakwenda kuwa Taifa Huru kama ilivyokuwa Asili yake
Akina Zitto Kabwe muwe wazalendo Sasa kuhakikisha Congo Mashariki anakuwa Mteja mkuu wa Bandari yetu
Ahsanteni...
Wakuu
'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza.
Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili...
Wananchi Mkoani Lindi wametakiwa kujitokeza kupata elimu ya msaada wa kisheria kupitia kampeni ya mama Samia Legal AID inayolenga kutatua changamoto za kisheria ambazo zinawakumba wananchi.
Rai...
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya...
Nini hasa unadhani kimepelekea vyama vya upinzani nchini, kupuuza na kuukalia kimya wito wa kuunganisha nguvu ya upinzani kisiasa na kiongozi mpya wa Chadema Taifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa upana wake sijaweza kuelewa vyema.
Je, mtanganyika anaruhusiwa kugombea kiti cha urais kwa upande wa Zanzibar?
Je, mzanzibar anaruhusiwa kugombea kiti cha...