Hii ni aibu sana kwa Star times, wamekata matangazo ya ITV ili WANANCHI wasione mahojiano kati ya Tundu Lissu na ITV kwenye kipindi cha Dakika 45.
Wakati huo huo tbc wao wako hewani vizuri...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Thailand nchini Tanzania...
Baada ya Steve Nyerere, Baba Levo, Shilole, Shafii Dauda na wengine kuja na mambo ya Ajabu kuhusu Mama, sasa ni zamu ya Mwijaku.
Ambaye yeye kaamua kuja na mambo yasiyoeleweka kabisa
Ila kwa...
Leo nimeshuhudia watu wengi maeneo ya kisarawe wakijiandikisha na kupata vitambulisho vya kupiga kura bila utambulisho wa awali wa kuhakiki utanzania wao. Kama namba ya NIDA au hata utambulisho...
Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu kuna mbilinge kubwa linaendelea ktk majimbo mengi hapa nchi. Fedha zinamwagwa Kama ulezi Kwa wananchi, wajumbe, wenyeviti n.k..
Si DSM, Songwe, Geita, Mwanza...
TANROADS wins global iRAP awards 2024
By Our Reporter
The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) has won the International Road Assessment Program (iRAP) 2024 awards as the world’s best...
Heshima sana wanajamvi,
Nimefuatilia maendeleo ya uongozi mpya wa CHADEMA bado sijaona ubunifu au utofauti wao baina ya uongozi wa zamani na uongozi mpya.
Nimeamua nitachangia lakini kwa sharti...
Akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Kata 3 za Nyamagaro kyang'asaro na Nyamtinga, Mbunge wa Jimbo la Rorya, Jafari Chege amewawetaka wananchi wa Kata hizo...
Kasi ya Wasira CCM imeharibu mipango, malengo na uelekeo wa upinzani kabisa nchini. Imewadhoofisha na kuwapotezea matumani kabisa, kiasi kwamba wamekosa na hawajui la kufanya.
Kwa kipindi kifupi...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka ameagiza Halmashauri zote mkoani Njombe kuanza kuwalipa posho Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji kupitia mapato ya ndani.
Mtaka amesema mkoa wa Njombe hauwezi...
Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024.
Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za...
Wanabodi,
Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF
Karibuni...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ameendelea kuzungumzia changamoto za mfumo wa uchaguzi nchini, akisema kuwa kura ya mtu mmoja lazima iwe sawa na kura ya mtu mwingine popote ndani ya...
Bado tuna safari ndefu sana ambayo kwa sasa ccm inaonyesha kutoa pesa nyingi kwenye media na mitandao watu wasijenge uwezo wa kuhoji kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi 2025.
Kuna party nyingi...
Hii ni moja ya kauli za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wa Mkoa wa Mbeya, Ndugu Ndele Jailos Mwaselela, alipotekeleza ahadi yake ya kuchangia ukarabati wa ofisi...
Nimeona Wafuasi wa Tundu Lisu wakilinganisha uchaguzi wa Chadema na Ule wa TLS na Kwamba Mwabukusi aliwekewa mtimanyongo na CCM Lakini akashinda vivyo hivyo Tundu Lisu atashinda Chadema...
Kuna Mijadala unaendelea hapa Citizen TV kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti wa AUC
Mtaalam mmoja anasema ilishapendekezwa Dr Kikwete wa Tanzania aongoze kamisheni hiyo endapo wagombea wangeshindwa...