Naelewa Chadema haina Watu waliobobea kwenye Uchumi lakini Mazingira ya Dunia ya Leo yameruhusu kila Mtu kuuelewa Uchumi locally, continentally and Globally
Ndio sababu Waziri wa Uchumi siyo...
Watanzania wametakiwa kuepuka mashinikizo yoyote yanayoweza kuhatarisha usalama wa nchi, yakiwemo maandamano, hasa wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Rai hiyo imetolewa na Nabii wa...
Leo nilikuwa Chato stand ya zamani nimeshuhudia mambo ya ajabu sana.
Eti Mama ametoa mikopo 10% ya mapato ya halmashauri. Alafu Mbunge Kalemani anabwatuka eti Mama amefanya mambo makubwa.
Haya...
RAIS MWINYI:UVCCM ENDELEENI KUHAMASISHA VIJANA CCM ISHINDE NA KUSHIKA DOLA.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema...
CCM walianza na ngonjera ya Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania. Baada ya kuimba ngonjera hii kwa muda wa miaka 5 na kukosa muitikiaji, wakaamua kubalili mapigo na kuibuka na ngonjera mpya waliyoipa...
Habari wadau wa JF siasa.
Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Magufuli kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa...
Habari Ndugu Kafulila,
Naomba unisaidie kufahamu, ni kwa nini ujenzi wa viwanja vya michezo ukianza na ule wa Arusha na sasa huu wa Dodoma haufanyiki kwa PPP?
Michezo ni biashara na hivyo sekta...
Habari wadau wa JF siasa.
Nimekuwa nikiwaza Sana sura ya nchi na hali ya nchi hii baada ya Rais Samia kumaliza mihula yake miwili. Je nchi itakuwaje kirushwa na kifisadi, kiuchumi, kisiasa...
Baada ya mwaka jana chama cha ANC kupata kiasi cha asilimia 40 tu ya kura, mwaka huu wamekuja na sera ya kuwezesha kufanyika land redistribution. Kwa miaka yote wazungu wachache wa SA bado...
Mpigania Uhuru, Haki na Demokrasia Nchini Tanzania, ambaye idadi ya kukamatwa kwake na Polisi haihesabiki, Mdude Nyagali ameonekana Ikungi Mkoani Singida wakati wa Mapokezi Makubwa ya Mwenyekiti...
Kijiji cha Nkalakala kimepata fedha milioni sita kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida Jesca Kishoa ambazo zitatumika katika kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo.
Hayo yamefanyika...
Wakuu,
Katika kuhakikisha wananchi wanafikiwa na huduma ya nishati safi ya kupikia, wanawake wazee kijiji cha Msae, kata ya Mwika Kaskazini mkoani Kilimanjaro wamewezeshwa mitungi 60 ya gesi ya...
Nchini Kyrgyzstan Serikali ya nchi hiyo inajenga uwanja wa kisasa kweli wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu 45,000 kwa gharama za Dola Milioni 60 tu za Marekani sawa na shilingi Bilioni 154 za...
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia,
Vinginevyo demokrasia ya vyama...
Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli zilizohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mzunguko wa 12 wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ambao utafanyika mkoani Morogoro na sehemu ya mkoa wa Tanga kwa siku...
Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda.
Salumu Hamduni amesema hawana...
Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa.
Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira...
Wakuu,
Baada ya Samia Legal Campaign, sasa hivi CCM wamekuja na hii ya kuitwa Samia Teachers kwa ajili ya kupata kura za walimu.
Hapo walimu watadanganywa kuwa wanatatuliwa changamoto zao ili...
Ikiwa imebaki miezi minane kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, vijana wametakiwa kuacha tabia ya upambe na kubeba mabegi ya wagombea badala yake wagombee nafasi mbalimbali.
Msingi wa hoja hiyo...