I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism.
Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa.
Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza.
Ukiharibu...
Kuna tatizo kubwa sana kuhusu uchaguzi huru wazi na wa haki nchi hii kiasi cha kwamba kila mwananchi amekata tamaa na suala hili.
Mimi na wananchi tunajiuliza tatizo ni kukosekana kwa utashi wa...
Kwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia ...
Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo
Nawatakieni Sabato njema 😀
Habari wadau!
Leo maeneo ya Dodoma kwenye round about ya kuingia uwanja wa ndege wa Dodoma, kuna tangazo limewekwa chini kwenye hiyo roundabout likiisomeka: Siku ya kondom duniani(kama sio...
Sina mashaka na Jeshi letu tukiamua kulipa Hilo jukumu
Tuna HISTORIA nzuri sana tangu ukoloni Hadi leo
Kwa Dunia ya leo vita kubwa ni ya kiuchumi Kila mmoja ana angalia mwenzake atampa Fursa...
Wakuu,
Hivi kwanini hawa celebrities hudhani kuwa just because wao ni maarufu basi automatically wanakuwa na mvuto wa kisiasa?
Kuna huyu mmoja anajiita Davina (kwa wale waangaliaji sugu wa Bongo...
Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru...
Nyakati zitasema naye na wote waliohusika
Asili inaona na haijakaa kimya!.. Hata wengine wasipolipa kisasi.. Asili itafanya.. Karma haikopeshi.. Asili hulipa kisasi kwa niaba
Asili hukifanya...
Kwa mafano tatizo kubwa sana maeneo mengi ni:-
1. Huduma za afya na vifaa tiba, vituo vya afya havina hata x-ray au Ultrasound halafu wanapoteza fedha kununua magari ya mamilioni
2. Maji safi na...
Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sabato Njema. (itikia Njema Sana).
Wahitimu wa kisabato...
Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza...
Mnamo 2020 tuliletewa baraka na Mungu ya kuwa na mgombea kutoka CCM NDG.PRISCUS TARIMO na tukampa kura za ndio tukiamini Atafanya maendeleo japo kidogo ambapo chadema walishindwa kabisa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ubalozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania umetoa tamko au maelezo ya kina au ufafanuzi wa kukanusha upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu mitandaoni.
Ambao wana lengo la...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia...
Wapo baadhi yetu ambao wanaamini kuwa "sera za CCM ni nzuri ila zimekosa watekelezaji tu". Wapo wanaoamini kuwa sera hizi ni nzuri sana vitabuni ila hazijapata watu wazuri kuweza kuzifanyia kazi...
"Awali ya yote napenda kuwatakia sikukuu njema ya Eid mubarak"
Salamu kwenu wanajamvi!!
Poleni na majukumu ya kila siku katika kuhakikisha mkono unaingia kinywani.
Najua tunapitia wakati mgumu...
OFISI YA RAIS,
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
DR. SAMIA SULUHU HASSAN,
YAH: UMUHIMU WA KUANZISHA NA KUENDELEZA VIWANDA VYA KUZALISHA DAWA ZA...
Mpendwa Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi,
Natumaini uko salama na unaendelea vyema na majukumu yako.
Katika barua hii, ningependa kukuletea masuala muhimu yanayoathiri utendaji kazi wa...