MAHOJIANO YA DK SLAA NA COUNTYR FM(88.5)
Mwandishi wa Chanel ten Iringa Daud Mwangosi (kushoto) akimhoji mgombea urais wa Chadema Dk Slaa
Mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini...
Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho.
Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado...
Wakuu,
Ndugu zangu Tlaatlaah johnthebaptist FaizaFoxy Lucas Mwashambwa na genge lenu bado mnaona Lissu 'anaropoka' au dawa ishaanza kuwaingia? :BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: Ila kwa jinsi...
OFISI YA RAIS,
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
DR. SAMIA SULUHU HASSAN,
YAH: UMUHIMU WA KUANZISHA NA KUENDELEZA VIWANDA VYA KUZALISHA DAWA ZA...
Nimeona nitengeneze thread itakayoweka link ya kwenda kwenye thread zenye shutuma za ufisadi au topic zozote zinazogusia ufisadi. Hii itasaidia mtu yeyote atakayependa kuwa na quick reference na...
Upinzani:Kila Mtanzania anadaiwa milioni 137
Na Joseph Lugendo, Dodoma
KAMBI ya upinzani bungeni, imeibua madai ya matumizi mabaya ya fedha za Serikali yaliyosabisha kupotea kwa...
Hii ni sanaa na maigizo au ni ukweli!? CIA zaidi ya wabongo? au FBI...
Bado nina mashaka..... japo inaweza ikawa kweli..
Lazima afe..kwasababu Marehemu anafahamu mengi!
Huyu nabii ni kiboko...
Mbunge wa Jimbo la Itilima, Mkoani Simiyu, Njalu Silanga amesema kuwa serikali imefanya kazi kubwa ya kuboresha sekta ya kilimo, ambapo Wilaya hiyo imepokea matrekta 35 kwa ajili ya kulima...
Ufisadi BoT: CCM matatani
Waandishi Wetu Januari 23, 2008
Raia Mwema
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake vi mtegoni, na itabidi kuamua kusuka ama kunyoa kwa kuwa kuna uwezekano...
Huwezi kuwa inatokea Nchi ya wasakiti na vibaraka kama Kenya harafu ukashinda.
Odinga ni mgombea sahihi ilakutoka Nchi ya hovyo 🤣🤣🤣😬
Pole sana Mzee ndio hivyo tena maisha yaendelee...
Nimekutana na orodha ya wapiga kura Ktk kata nyingi za mkoa wa Katavi, ndugu wanashangaa marehemu wao ni wapiga kura. Leo sehemu nyingi wamebandua majina kuepuka aibu baada ya kuona wananchi...
PUUZENI TAARIFA YA NIPASHE, HAKUNA UCHOTAJI FEDHA BOT, HUU NI MWENDELEZO WA KUZUA TAHARUKI KWA MAKUSUDI, BOT INASIMAMIA KWA UMAKINI SANA SHERIA ZA NCHI NA MIIKO YA BENKI KUU ZOTE DUNIANI...
Raundi ya kwanza
Odinga 20, mgombea wa Djubut 18 na Mgombea wa SADC 10
Round ya pili
Raila Odinga 22, mgombea wa Djubut 19 na Mgombea wa SADC
Unadhani kwanini Raila Odinga amefeli? 🐼
Vyama vingi vya upinzani barani Afrika, ikiwemo Tanzania, vimeundwa ndani ya mfumo ule ule wa kidemokrasia ambao tayari ni mtego kwa Waafrika. Hii inamaanisha kuwa hata kama chama cha upinzani...
Kuelekea uchaguzi mkuu october 2025 no reform no election epewe airtime katika kipindi hiki , ili watawala wafanye marekebisho ya sheria zinazoitwa za uchaguzi zinazonufaisha chama tawala,
Huku...
Ewe Waziri wa Ardhi, Halmashauri, Tanroads na tarura.
Tunaomba sana watu wote wanaojenga ovyo magenge mitaani, vibanda vya mkaa na wale waliojenga road reserve hata kama ni wakubwa wabomolewe...
Habari za j2
Nimekaa nikamkumbuka chuma John Pombe Magufulu kuwa angekua hai inamaanisha huu mwaka ndio angekua anamaliza awamu yake ya mwisho na kuwa Rais Mstaafu!
Kupata taarifa na matukio...
UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 99% IMETIKI NJE NDANI
MBUNGE WETU PRISCUS TARIMO AMEKUWA MSIMAMIZI IMARA WA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MDANI YA JIMBO LA MOSHI MJINI.
MBUNGE WETU AMEPIKWA VEMA NA...
Huyu Tundu Lissu ni mtu wa hatari sana.
Nilikuwa naangqlia live anavyochambua hoja kwa hoja kuwaelezea Watanzania kwa nini wanasema No Reform No Election.
Nonso alizokuwa anatema Lissu hata uwe...