Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu kikao cha Bunge la bajeti ambacho ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu kinaanza sasa. Nimeongea na mdau mmoja yuko Dodoma na kaniambia watu wenye uchungu na yanayoendelea nchi hii...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Kama Tanzania ingekuwa na Uchu wa Maendeleo, Nadhani wangeanza kurekebisha kitu kimopja kimoja, Kila Bajeti. Namaanisha Kama Barabara, Bajeti Yote inaenda kwenye Barabara Tanzania nzima, Kisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, kama tunavyojua budget ya 2011/2012 inasomwa kesho na waziri wa Fedha wa Tanzania Mr. Mustafa Mkulo. Je kwa wale walioko jikoni kuna haueni yeyote kwa wafanyakazi? Kodi kwa wafanyakazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu wote JF, heshima mbele sana:- - Kifo cha Sheikh Yahaya jana, kimetushitua wananchi wengi sana hasa wale tuliomzoea toka enzi za Utawala wa Awamu Ya Kwanza, I mean you wanted to ignore the...
7 Reactions
108 Replies
16K Views
Watu wamezuiliwa kuingia mahakamani, Lema analumbana nao anawauliza ni sheria ipi inayozuia watu kuingia mahakamani kusikiliza kesi? Muda si mrefu tutajua kinachojiri humu ndani...
1 Reactions
517 Replies
41K Views
Tutoe sifa pale sifa inapobidi itolewe. Mh. Lipumba kaonyesha uongozi wa kweli kwa kwenda kumtembelea Mbowe central kwa nafasi yake ya mwenyekiti wa Tanzania Centre for Democracy inayounganisha...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Wakuu, inatosha kusikia yaliyojiri tusitolewe nje ya mjadala moto uliopo, nao ni GAMBA LIMEVULIWA au ndio ngonjera zile zile za CCM kututoa huku kutupeleka kule. Kuna mwenye habari yeyote kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamati kuu, ilani, kamati ya maadili na mengine mengi na sasa mnataka kufungua tawi eti UK kisa CCM nao wamefungua. Udokta wenu uko wapi mnashindwa kuja na mfumo mwingine tofaut kabisa? Ndio maana...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Tunao wajibu wa kujisikiliza wenyewe kabla hatujawasikiliza watu wengine, tunalazimika kujitazama wenyewe kabla marafiki na maadui hawajatutizama. Serikali yetu ninayoipenda imenipatia aibu mara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
katuni ya zamani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jambo lilozoeleka sasa hivi kwa. WaTizoo kuona kila jambo haliwezekani na tumefundishwa hivyo na tukaamini ndio maana leo tuko hapa imefika mahali hata haki zetu za msingi tunaozichukulia kama...
0 Reactions
1 Replies
802 Views
The Arrest of The Leader of Official Opposition in Tanzania, Hon. Freeman Mbowe (Mb) is infringement of freedom of Parliament and a threat to democracy in the country CALL FOR ACTION This is to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jambo lilozoeleka sasa hivi kwa. Wa Tizoo kuona kila jambo haliwezekani na tumefundishwa hivyo na tukaamini ndio maana leo tuko hapa imefika mahali hata haki zetu za msingi tunaozichukulia kama...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Nimeona taarifa nzuri na picha juu ya jinsi alivyopelekwa Mbowe Ar, na hata thread nyingine zimeonesha kuwa ameachiliwa na hakunyimwa dhamana. Ambacho sijaona ni jinsi kesi ilivyoendeshwa. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali inavyo vyombo vya kutosha kuweza kupata taarifa za vihatarishi vya amani na usalama wa nchi. Kwa kutumia taarifa hizo ndipo jukumu la kujilinda au kuzuia usalama wa nchi usipotee...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Awali ya yote ninapenda kumshukuru Mungu aliyenileta duniani na atakayenitoa hapa duniani,Ndungu zandu na wadau zangu wapendwa nitakuwa si mpiganaji wa kweli kama nitabaki na siri hii ya kukamatwa...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
Siku za karibuni (hasa baada ya uchaguzi) polis wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi kwa kuwaua raia kwa kisingizio cha kulinda amani ya nchi.Katika maeneo ambayo vurugu zimetokea Arusha tarime...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii ni Hatari Ngara iliyoko mpakani na Rwanda SEHEMU YAKE IMEMEGWA NA KUUZWA RWANDA, WANANCHI WANATAKIWA KUONDOKA
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipata mkanganyiko kidogo baada ya kusoma mahala fulani ambapo nape aliandika kwamba watu wa JF ni mambumbu wa uchambuzi baada ya kuanika picha ya nape inayoashiria kuwa alikuwa ni wa CCJ, na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hakuna mashaka kwamba kukamatwa kwa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini kumetokana na maelekezo ya Jaji Mkuu, Othuman Chande ambaye ameigeuza mahakama kuwa idara ya siasa...
3 Reactions
614 Replies
49K Views
Back
Top Bottom