Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimejaribu kuangalia na kufikiria sana kinachoendelea katika siasa za Tanzania na hasa hizi kampeni zisizo rasmi kati ya CCM na CDM. Baada ya CCM kujivua gamba na viongozi wake kuanza kuzunguka...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Kikwete amekuwa mtu wa dhihaka hata sehemu zisizokuwa za dhihaka unafanya dhihaka. Watanzania tunatakiwa tujilaumu sisi wenye kwa kumchagua Kikwete 2005 kutokana na sura yake sio upigaji wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
katika semina elekezi ya majuzijuzi Dodoma Rais kikwetee moja ya mambo mengine alisisitiza kila idara na wizara ziwape nafasi wasemaji wao. back to my point. nani ni mzungumzaji wa jeshi la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimkuwa nikifuatilia kwa makini hili swala zima la kukamatwa wabunge wa Upinzani ningependa kufahamu kuwa wao hawana kinga kwa mujibu wa kanuni za bunge? kinga ni kwa wale wa CCM tu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I'm going to report a crime on line. Regardless to exemmptions of their diplomatic immunity, every person accompanying the president should be dog sniffed (na mizigo yake). Nyeupe na Nyeusi...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Umenena tumekusikia: Baadhi ya sehemu na nukuu ulizokazia ni pale unaposema ANAYETAKA UONGOZI WA NCHI HII ASUBIRI HADI 2015....childish statement. Entirely this is an oblique statement and it...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti BAVICHA na vijana wengine waliokuwa wakishikiliwa na polisi wameachiwa huru kwa dhamana..Source: Mnyika kupitia fb.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii imenishangaza sana inakuwaje mitambo iendeshwe kwa gharama kubwa hivi ? Au hela zingine wanailipa Dowans kisilisili. Hebu angalia mahesabu rahisi. Tsh Bilioni 15 kwa siku zidisha na siku...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
WALIOMKAMATA MBOWE HAWANA NIA NJEMA NA JK KWANI WAMEFANYA MAKUSUDI ILI KUHAKIKISHA CHADEMA INAPANDA CHATI KITAIFA NA KIMATAIFA,WAMEFANYA VILE KWA KUTUMIA GHARAMA KUBWA ZA SERIKALI YA JK ,HESABU ZA...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
By Adam Clark Estes Jun 06, 2011 The United Nations counts internet access as a basic human right in a report that bears implications both to on-going events in the Arab Spring and to the Obama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana Jamii napata shida kujua kazi za viongozi hawa naomba mnifahamishe kwa kunitofautishia majukumu yao. 1: Mkuu wa mkoa na Meya 2: Muu wa wilaya na Mkurugenzi wa wilaya 3: Afsa mtendaji kata na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu, jana maaskofu wamemwambia raisi wa Jamhuri na Mwenyekiti wa wavua magamba kuwa awataje wanaohusika na madawa la sivyo atakua mwongo. Kwa jinsi nnavyomfahamu huyu jamaa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kenya, inayonyimwa misaada na wafadhili na kusumbuliwa na matatizo ya ukabila, bado inaendelea kusonga mbele kimaendeleo kwa kasi kufananisha na Tanzania yenye amani tele na inayopewa misaada...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
21 March 2011 Dar Es Salaam — A trial magistrate has accused the police of showing double standards by failure to enforce court orders to arrest a senior government official over contempt of...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kaka William Malecela Bila shaka uko salama na unaendelea na majukumu ya kila siku ya kimaisha. Nimeona leo nikuandikie waraka wa kirafiki kuhusiana na hali ya kisiasa na maisha yetu huku...
33 Reactions
170 Replies
14K Views
Waziri wa Uchukuzi , Mh. Omar, mimi ninamwelewa na nimemkubali. Kupitia ITV amesema tuimarishe PPP na sio kutegemea bajeti ikiwa ni pamoja na kukaribisha wawekezaji kwa kuwapa vivutio...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
BAADA ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, mwaka jana, sasa tunazungumzia matunda ya uchaguzi kama ni machungu, au ni matamu kama jamii ilivyotarajia maana watu hawapendi mti na mara nyingi wanapenda...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
:becky: Niliposikia kwa mara ya kwanza habari ya kukamatwa kwake kupitia VoA nilikuwa safarini na sikupata muda wa kutosha kutafakari....In short i was disappointed with him as my first...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Bunge linaanza kikao chake cha bajeti tarehe 7 Juni 2011. Mabunge mawili yaliyopita (sina uhakika kabla ya hapo) C.V za wabunge zilikuwa zinapatikana kwenye tovuti ya Bunge sambamba na picha na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kama CCM walifikiri kuwakamata viongozi wa CDM itasaidia kuchukiwa na wananchi kinyume chake wanachadema wamekuwa wamoja zaidi pamoja viongozi wao kuliko kabla. mfano mzuri kukamatwa kwa Mbowe na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom