CHAMA cha CHADEMA, ambacho kinadaiwa kukwepa kulipa kodi halali za serikali, kimeshindwa kutoa taarifa za mapato kwa kile kilichodaiwa kumbukumbu zimepotea. Badala yake, CHADEMA imetoa taarifa...
Wakuu nimezunguka kwa wauza magazeti wa hapa ubungo na mwenge lakini wote wameniambia gazeti la Raia Mwema halijatoka. Je ni kweli halijatoka au watu wamelinunua lote? Je kuna mtu yeyote anayejua...
Mikoa mipya ya; KATAVI, SHIMIWI ,NJOMBE (aka NJOLUMA) ilitangazwa kuundwa nimeshitushwa na taarifa kuwa mikoa hiyo hata kwenye budget hii haina fungu kwa mantiki ya kwamba haijulikani.
Waziri...
MGOGORO ndani ya CCM Mkoa wa Arusha umeshika kasi mpya baada ya Kamati ya Usalama na Maadili na Kamati ya Siasa za chama hicho mkoa kudaiwa kumvua
uanachama Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama...
Mie nipo hapa Dodoma,
Tangu waheshimiwa Wabunge waanze kuja Dodoma kwa kikao cha Bunge la Bajeti, kumekuwepo na ongezeko kubwa la mashangingi hasa nyakati za jioni kuja hapa chuo kikuu cha...
Plot for sell 25meter width by 50 meter length, very flat plot ares,water available in near by plot and electricity too, 30meter to main road. located in a planed area at Monduli district, all...
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Lipumba alitangaza
leo kuwa wanajiandaa kufanya maandamano makubwa kufuatia viongozi wao
kunyimwa dhamana, na wakati huu taarifa inatolewa kuwa...
Wakuu nawajulisha kuwa kuna ufisadi unaoendelea katika wizara, idara na taasisi zote za serikali katika kipindi hiki cha kuelekea bajeti tajwa kwa kisingizio cha kumalizia mafungu ya 2010/2011...
Haijawahi tokea Central kukawa na ulinzi kama huu.
Kituo kikuu kimezingirwa na askari wa kutuliza ghasia wengi sana ambao wote wamejitanda vizuri sare za kivita na bunduki mikononi mwao. Hakuna...
kada maarufu wa ccm kwenye face book dada olivia sanare atoa kauli kali kuhusu ccm.......
na haya ndo aliyoyasema
Olivia Sanare-mwanaharakati
UFISADI,FITINA,CHUKI,UBINAFSI,MAJUNGU NGUZO KUU...
Leo kwenye taarifa ya habari TBC1 (8pm) IGP Said Mwema amesikika akisema kuwa baadhi ya mabalozi wa nchi za nje na wawekezaji wamekuwa wanampigia simu kutokana na kile alichokiita hali ya usalama...
Mimi ni mtazamaji mzuri sana wa taarifa za habari za mlimani tv (elimu kwanza) lakini nasikitishwa sana na tabia ya kituo hicho cha televisheni kutokuwa na utaratibu wa kuweka majina ya...
Miongoni mwa kauli nyingi za wanasiasa wetu zilizosisimua sana tokea mwaka huu uanze, ni ile iliyotamkwa ndani ya Bunge letu tukufu la Tanzania na mmoja wa waheshimiwa wawakilishi wetu bungeni ya...
Monday, 06 June 2011 20:59
0digg Ally Mkoreha, Dodoma
KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema itaingia kwenye mkutano wa Bunge unaoanza leo, ikiwa na hoja nyingi lakini kubwa ni...
...............Nchi kwa kauli mbiu zinazoleta matumaini lakini zisizotendewa kazi inaongoza...baada ya kauli mbiu kama...
Kasi mpya na ari..
Maisha bora kwa kila mtanzania...
Kilimo kwanza...
Mwenendo wa hali ya kisiasa nchini unaonyesha kabisa chama kilichopo madarakani(MAGAMBA OR MAFISADI PARTY aka CCM) kimeshindwa kuliongoza Taifa na kuleta maendeleo kwa wananchi na Taifa kwa...
Kwa mtazamo wangu askofu v.mokiwa alikuwa sahihi kutoa statement aliyoitoa juu ya kumtaka prezdaa aweke bayana ni akina nani haswa wanaouza madawa ya kulevya. Na kama baraza la maaskofu...
Ni katika hali ya kuthibitisha uchovu wa jeshi la Polisi kwamba hawana hata helikopita (kama ni kweli ilibidi asafirishwe kwa helikopita) au zile walizonazo zimeharibika! Au ilikuwa nikumpa hofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.