Kifungu hiki cha bajeti kingefaa kuweka nafuu ya kodi kwenye vifaa vya ujenzi ili wananchi waweze kujenga nyumba bora za kuishi kwa bei nafuu. Hii ya kusamehe tu kodi ka NHC haitoshi kwani ni...
Obviously hakubaliani na mengi yanayoendelea ndani ya chama tawala na kutokana na kauli zake za public na private inaonekana hana interest na CCM na ni wazi anatekeleza ilani ya CHADEMA.
Sasa...
Utashi na mtu atkavyokuwa baadaye huanzia tumboni mwa *****.yapo mambo mengi yanayotokea wakati mtoto anakuwa tumboni na baada ya kuzaliwa.yote haya yana sababishwa na mambo mengi sana ya...
Nimegundua kuwa mawaziri wa JK huwezi kutuliza akili ukawasikiliza kabisa. Kwanza hawako connected wanapoanza kutoa hotuba zao, yaani namaanisha akisema kitu kimoja hafikishi mwisho anaanza...
Natoa rai wakuu ianzishwe thread special huku JF ya kuipongeza na kuisifia serikali na nyingine ya kuikosoa serikali.
Inanichanganya kuona kila post ina comments za kuiponda serikali ina maana...
Natoa rai Kwa Kikwete kuwa utaitumbukiza nchi yetu kwenye majanga. Wamarekani sio watu, ni wauaji. Hakuna mahali walipokwenda waamerika pakawa na ustawi. Ni fathers of exploitation of human being...
Hivi sasa ndugu zangu hapa Sumbawanga wanalalamika kupata mbunge ambae hana elimu. Wanasema eti CCM ingesimamisha mtu aliye na elimu huenda wangepata angalau waziri hata mmoja ambae angeharakisha...
Mkapa alipoingia madarakani alianzisha TACAIDS kwa madhumuni ya kupambana na janga la ukimwi Tanzania na alipoingia Kikwete alianzisha NACP kwa ajiri ya madhumuni hayo hayo na mbaya zaidi kwasasa...
Moral reasoning lies at the heart of the debate on separating business and politics. It emphasizes the need to do the right thing by the right means inoder to achieve a specific end..
TRA yajipanga kudai mabilioni CHADEMA
* Ni ya ukwepaji kodi kwa miaka 19
* Wajitetea kupoteza kumbukumbu
Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha CHADEMA, ambacho kinadaiwa kukwepa kulipa kodi...
Habari wandugu.
Nina ndugu yangu anafanya vitengo muhimu vya serikali kama mwanauchumi, kuna taarifa kuwa hadi sasa serikali imechukua kodi mpaka ya decemba 2011 yaani serikalu imepigika haswa...
He is so powerful, well connected, collected, he knows his targets, his enemies, timing well for presidential candidate to be thru CCM, i see him from a distance kashajipanga vizuri, wabaya wake...
Namsikiliza Kintu Nyago na Dr. Besyigye, mdahalo ni 'maandamano ya kazini kwa mguu.
Shaka kauliza: what brought you here?
Besigye: medical chech up for being brutally...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), John Heche amesema ataandaa mikutano itakayofanyanyika nchi nzima kulaani kitendo cha kukamatwa na kuwekwa ndani mwenyekiti wa chama hicho...
baada ya waziri wa fedha kuisoma budget 2011/12 ambapo vipaumbele kua umeme,kilimo,ajira,maji na miundombinu. . Lakini hii bajeti kw asilimia kubwa ni tegemezi kwa maana ya kutoka nje na kukopa...
Haya nilipo umeme umeshalaza mpaka kesho asubui alafu eti jana Gamba kuu anasema tutaiuzia south africa umeme.hahahaha siasa bwana naitamani sana ila naogopa kuwa muongo wa waziwazi yani kuahidi...
Jamani kati ya wafanyakazi wanaostafuu na kuwa na maisha ya kifukara na ombaomba ni wanajeshi na polisi. Usimwone kagonja anavimbisha mashavu, na anaongea kwa kukejeli wapinzani waofanya kazi ya...
wana JF. Kuna article moja nimesoma kuwa usalama wa taifa wamesomea zaidi jinsi ya kudhibiti upinzani nchini zaidi ya jinsi ya kulinda usalama wa taifa. Wapinzani wawe makini sana na simu zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.