Makamu mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya huduma za jamii Dr Ndugulile ameharibu mlolongo wa bajeti, ana kampuni ya mambo ya maabara na anaharibu utaratibu wa kuendeleza vitengo kwa kubamba...
MIAKA 50 YA UHURU:
Watoto na wazazi wa Kijiji cha Oliipil, Loliondo mkoani Arusha wakisubiri wauguzi na madaktari kutoka Hospitali ya Wasso kwa ajili ya kliniki. Jengo linaloonekana ndiyo...
Leo naona media zinatetea upupu wa blahblah za kikwete kugeneralize viongozi wa dini na dawa za kulevya.huyu shehe basalehe Anapayuka.nzowa anabwabwaja tu.mwandishi haulizi maswali magumu.mfano...
Mwandishi Saed Kubenea leo ameondoka kuelekea India kwa matibabu ya macho na baadae Sweden ambako atakutana na wataalamu wa kampuni iliyotengeneza mtambo wa kuchapa magazeti alioununua hivi...
Tanzania tumekuwa tukijivua amani kwa miaka mingi sana na hadi leo licha ya viongozi wetu kuonyesha dhahiri akili zao zimefika mwisho wa kufikiri yaliyo na amani na kuanza kutumia njia za utawala...
Jana Wabunge wa upinzani wa nchini Uganda walitoka nje ya Bunge la Uganda wakati Rais wa nchi hiyo,Yoweri Kaguta Museveni,alipokuwa anaendelea kuhutubia.
Tukio hilo lilitokea mara tu baada ya...
Wana Jf
Jana Mwenyekiti wa Kamati ya REFORMS UVCCM, Hussein Bashe akiwa katika Mkutano Mkuu wa Uvccm Mkoa wa Dar es Salaam, alitoa Onyo kwa UVCCM na Chama Cha Mapinduzi, Bashe alisema Wakati...
Ahadi za Kikwete:
Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora
Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini
Tabora kutumia maji ya Ziwa...
Na Yona F Maro (from wanabidii)
Jun 7, 6:01 pm
Kumekuwa na mijadala kwenye mitandao hii juu ya Mhe Raisi kutuhumu
baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na biashara za madawa ya
kulevya na...
Heko heko watanzania serikali yenu itakuwa imewasikiliza vya watu wengi budget ya neema ndo imewadia wafanyakazi walimu kupata unafuu wa maisha, kodi kushuka kwa 6% katika mafuta hapa kila mtu...
Uhasama wa CCM, CHADEMA Arusha wahamia serikalini
Mbunge Lema asusiwa hafla na vigogo watendaji
Awezesha wanafunzi 400 wa shule za kata kusoma bure
UHASAMA wa kisiasa baina ya watendaji wa...
Wakuu, tunaomba mwenye copy ya budget aiweke humu. Nakumbuka mwaka jana muda kama huu tulishaipata. Nilitegemea mwaka huu tumejivua GAMBA basi budget ingepatikana mapema zaidi.
Kuna mtafaruku hapa duce,wanafunzi wa mwaka wa tatu wamejikuta wote wanadaiwa ada licha ya kuwa wanapaswa kulipiwa na bodi ya mikopo.chuo kinatupia lawama bodi na bodi inatupia lawama chuo.hali...
Serikali ihalalishe matumizi ya BANGE NA GONGO SASA kwani ongezeko la kodi kwenye bidhaa hizo hatutaweza kumudu gharama za matumizi ya Bia na Sigara tena
KELEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE...
Uzoefu unaonesha kuwa watawala wa Kiafrika huwapa vyeo jamaa zao katika taasisi nyeti za dola ili wasichukuliwe hatua wanapofanya ufisadi. Kuna umuhimu wa kuanzisha Mahakama Huru ya Kimataifa ya...
Ni hari ya kusikitisha sana hasa kiuchumi nchi inavyoaanza kuchumia tumbo baada ya kuwekeza kwenye kuindeleza. Huu ni uchumia tumbo kabisa hasa unaopoona budget ya 2011/2012 ya 11.9 tr/- out of...
Jeshi la polisi limedaiwa kufanya tena mauaji,mugumu mkoani mara ambapo safari hii,askari wa kituo cha mugumu wilayani serengeti wamedaiwa kumuua Nyitamboka Mwita(28)kwa kumpiga risasi akiwa...
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha, linamshikilia na kumhoji anayedaiwa kuwa ni mfuasi wa Chadema, Prosper Mfinanga (40), mkazi wa Kijenge kwa tuhuma za kutembea na bango lenye maandishi...
Nafuatilia hotuba ya rais wenu JK, anatoa historia ya uchumi TZ tangu enzi za uhuru. Eti uchumi umekua kwa asilimia 7 ikilinganishwa na malengo ya asilimia 8.
Anajitahidi kusisitiza kuwa hali...
Mafisadi CCM wageuka mbogo
Na Jabir Idrissa - Imechapwa 01 June 2011
Lowassa, Rostam wamkoromea Msekwa
SASA ni piga ni kupige ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wanaotuhumiwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.