Wenyeviti wa vijiji vitatu vilivyopo Kata ya Nyamongo, wilayani Tarime wametua jijini Dar es Salaam na kueleza wanaunga mkono viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutetea haki...
People's!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi ni kweli kwamba mwenyekiti wa CDM alitakiwa kukosa kikao tajwa hapo juu kutokana na misimamo yake:confused2:?
Kukamatwa Mbowe balaa tupu Dar
*Wafuasi waandamana, watawanywa, watatu mbaroni
*Dkt. Slaa asema 'ukondoo' wao umefika kikomo
*CUF waungana na CHADEMA, watangaza maandamano
Na Benjamin...
As I searched for new postings today I was attracted to look at the number of views and replies and it read Replies 7 Views 0 then I started to wonder is this possible or is my understanding of...
Diwani wa kata ya Urugu ndugu Simon Tyosela kupitia chadema na mwenyekiti wa chadema ndugu Abdala athuman pamoja na wanachama wengine wa chadema ndugu Samwel Nalogwa na Samson Mayagila wameihama...
Kwa upande wake, Mhashamu Askofu Ndimbo alitaka busara zitumike katika mchakato wa kuwapo kwa Katiba mpya nchini, kwa pande zote zinazohusika. Alizungumza hayo wakati Rais Kikwete alipokuwa mmoja...
ndomana sijutii kuhama chadema na kuja ccm.cdm wahuni wengi na siwavumiliv katika siasa za ushindani si wastaarabu. lazima tuseme kweli kama zito kabwe kuwa " ccm inamazuri na si kila kitu kibaya...
6th June 2011
Hakuna nyumba za kuwapa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha.
Ule ukwapuaji wa nyumba za serikali zilizokuwa rasmi kwa makazi ya...
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Salma Kikwete, amesema ushindi wa Kikwete katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana hauna dosari kama baadhi ya vyama vya siasa vinavyotangaza.
Alitoa...
Nashindwa kuelewa hapa Watanzania, wenzetu CCM wanakata mikutano ya hadhara bila shida kabisa, CDM wakifanya tu wanakamatwa! kulikoni? Inabidi na Na Nnauye wamkamate, wakishindwa tunaweza...
Wakuu Salaam.
Kamati Kuu ya dharura ya CHADEMA kukaa kesho kwa mujibu wa Katiba kwaajili ya kupitisha Wagombea nafasi mbalimbali katika Baraza la Vijana CHADEMA(BAVICHA).
Siku ya kesho ndio...
Ndugu wananchi wote mmeshuudia jeshi la police wakiua watu kama mambwa koko, hakuna matamko yanayotolewa na viongozi wetu kwa maana njingine wanaunga mkono mauaji hayo hivyo basi kitendo cha...
Rais Kikwete hali akijua kinachoendelea nchini, na khofu katika nafasi za matuko kama lile la kuwekwa wakfu na kutawazwa askofu wa Jimbo Katoliki la Mbinga kunaweza kutolewa tamko la kanisa juu ya...
Ukishindwa kufikirisha kichwa chako unakuwa mjinga, ukishindwa kuchambua mambo yanayokuzunguka unakosa sifa ya kutokuwa mwerevu lakini pengine huwezi kuitwa mjinga lakini unaposhindwa kufikirisha...
Hii kali ya mwaka mafisadi wameiba ma billion ya fedha hata kuulizwa serikali inawaogopa huyu mbowe hata senti tana ajachakachua kasekwa rumande na jeshi la polisi kutumia gharama kubwa kumlinda...
Watu wengi tumekuwa tukiwalaumu sana polisi na vyombo vya usalama kwa mambo wanayofanya. Mie naona sio kosa lao, maana hata wao hujuta wanapofanya mambo ambayo baadae jamii ya wastaarabu na dunia...
According to available evidence from both BRELA and the Bank of Tanzania, Kagoda was officially registered on September 29, 2005, and given Certificate of Incorporation Number 54040. The...
Jana niliona wachina wanamkabidhi shule ya msingi, kwanini hakwenda waziri wa maswala hayo, ili yeye ashughulikie maswala ya kitaifa mf. Umeme, migomo ya wahadhiri na wanafunzi? Yaani anaona hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.