NIMEFUATILIA KWA MAKINI YANAYOENDELEA HAPA NCHINI. HIVI CHAMA CHA MAGAMBA KIMESHATAFAKARI MAMBO YAFUATAYO?
Hivi hawaelewi kuwa 2015 wapiganaji wa kweli tukichukua nchi ni watu wangapi wataihama...
Zitto Kabwe, a Tanzanian Member of Parliament from the opposition party Chadema was arrested on June 4 in Central Tanzania soon after holding a public rally. The rally was one of the series of...
By In2EastAfrica - Thu Jun 02, 1:02 pm
Civic United Front (CUF)'s Publicity Director Salum Bimani also joined Chadema's Dadi Kombo to express concern about the low turnout
When...
Mi nashindwa kuelewa hivi hii tanzania tumelaniwa na nani? wala tusimsingizie Mungu[GOD] labda gods,kwani haiwezekani kila mambo ya ajabu ajabu tu,yawe yanatokea kwetu!Inawezekana vipi...
Wenyeviti wa vijiji vitatu vilivyopo Kata ya Nyamongo, wilayani Tarime wametua jijini Dar es Salaam na kueleza wanaunga mkono viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutetea...
Mimi ni mwanachama wa CCM lakini kusema kweli...chama chetu kinaelekea kusiko....naomba nieleweke vizuri....chama chetu kinaitaji sura mpya..tena zenye uwezo..uwezo ninaousema mie sio uwezo wa...
aibu kwa hao green guard (police) yan mafisadi wanatesa tu mtaani wao wapo busy kutekeleza mawazo na fikra za mwenyekiti kuwanyanyasa wapinzan....
naona ameanza kucopy ya mwenzie museveni na...
Imeandikwa na Oscar Job;
Tarehe: 4th June 2011
MBUNGE wa Kinondoni, Idd Azzan, amekanusha kuomba radhi kwa uongozi wa CCM Mkoa kutokana na kauli yake aliyowahi kuitoa, kutaka uongozi huo...
Ndugu zangu,
Sikutaka kabisa kushiriki katika hii mitandao ya kijamii ambayo mimi niliiona kama ni ya kihuni, lakini nimegundua kwamba kuna vitu vya msingi sana ambavyo huwa vinajadiliwa humu na...
Ndugu wanajamvi,
Mimi huwa sina kawaida ya kuandika porojo hapa jamvini, jana kuna rafiki anaefanya kazi idara nyeti alinifata ili twend tukapate moja moto moja baridi,
Sasa kutokana na hali...
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoani Mwanza, Boniphace Magembe (32) amepandishwa kizimbani kwa mashitaka ya kujipatia fedha Sh milioni 20 kwa njia ya udanganyifu...
Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa na mkewe, na Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa nyakati tofauti wametua jana katika uwanja wa ndege wa Ruhuwiko Songea kwa ajili ya kuhudhuria shughuli za Jubilee...
Viongozi na jami ya watanzania na duniani kote. HAKI na UADILIFU ni walinzi pacha ambao hulinda watu
Madhumuni ya haki ni kuleta umoja kati binadam
Muwe na haki kwenu wenyewe na kwa wengine...
Kosa ni kuendesha mkutano wa hadhara baada ya saa 12 jioni.
Habari zaidi tutapeana hapa, inaelekea leo ni siku ya kamatakamata.
UPDATES:
Inadaiwa katolewa rumande na kaambiwa aripoti kesho polisi
Kwa kweli me hawa ccm hata cwaelewi cause kila wanapofanya mikutano yao lazima waombee watu kuja kuhudhuria mikutano yao, juzi kati hapa alikuja mwenyekiti wa maghambani kwenye uzinduzi wa...
Ni kweli katika miaka 50 tangu kupata Uhuru wetu kuna mafanikio yamepatikana. Ni lazima kumshukuru Mungu na wale waliofanikisha kupatikana kwa mafanikio hayo. Lakini ninapotakari na kujiuliza...
KIPAUMBELE cha serikali katika Bajeti inayotarajiwa kusomwa wiki ijayo kitakuwa ni miundombinu baada ya kuelezwa kwamba Wizara ya Ujenzi inayoongozwa na Dk John Magufuli imetengewa kiasi...
Mimi nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za hapa kwetu tz kwa muda mrefu sasa na nimefika hatua nimeamua kutojihusisha wala kushabikia siasa za hapa nchini kwa sababu zifuatazo
,kwanza hakuna vyama vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.