Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hv haya ma ccm yanakuaje jamani? Utakuta kuna shughuli za kiserikali zinafanyika labda uzinduzi wa madarasa nk, pale mambo ya kichama yanakua hayapo tena, ila utayakuta yamevaa me tisht ya kijani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndiyo, nautaka! Miezi 9 hatuna jipyj!? Kuhusu MWONGOZO...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Mkuu wa Wilaya ya Singida Pascal Mabiti akizungumza na wananchi wa Kata Mpya ya Lighwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Mkuu wa Wilaya ya Singida Paschal Kulwa Mabiti ameahidi...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Nashindwa kuipata hii picha: Mtu wa magwanda ya kijani - tuseme Nape au Chiligati au Hizza anahutubia jukwaani kwenye mkutano wa hadhara wa chama halafu FFU wanakwenda kumteremsha na kumtia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
bado sipati picha awamu ya tano itakuwaje.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
]Kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mpendazoe, anatarajia kufanya uzinduzi wa kitabu chake alichokipa jina la 'TUTASHINDA'. Uzinduzi huoo unatarajia kufanyika Dodoma tarehe...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ukimuangalia vizuri ridhwani utaona kosa si la kwake bali la mzazi especially wa kiume, majibu aliyoyatoa JK kuhusu watoto wa kike wanaopata mimba mashuleni kuwa ni kierehere chao ni kauli tosha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ataka posho zote za vikao ziondolewe Ataka panga pia lielekezwe serikalini Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Zitto Kabwe, akisisitiza jambo wakati wa kikao cha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
katika hali isiyotarajiwa katibu mwenezi wa ccm tanzania nape nauye amepita katika mkoa wa tabora kimya kimya akitokea mkoa wa rukwa, nape bila kutarajiwa hata na baadhi ya wana ccm kupata taarifa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni wale walioshitakiwa kwa kumuua yule dereva kipindi cha kampeni za uchaguzi.Mahakama imewaachia huru baada ya mkurugenzi wa mashitaka kuona hakuna haja ya kuendelea na Kesi.SOURCE: ITV HABARI.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeshakutana na watu wazima wengi,nimesikiliza viongoz wa dini mbal mbal wengi wanadai kuwa aliyelilogo taifa letu na kuwa maskini jinsi tulivyo ni Hayati nyerere.Naomba mnisaidie kwa yeyote...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
stay tuned lakini kwa watu ambao mshadeal na TRA najua kwenu hili ni la kawaida na hata ukitaka ku supply peni basi huyu jamaa wa Kimasai lazima apate walau nusu shilingi 100 per pen ama sivyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu wakazi wa Mlandizi-bagamoyo bomoabomoa inakuja wameshaa kupiga X baadhi ya nyumba ila utata utakuja kwenye malipo vigezo wanavyo zingatia ni umbali wa mita 22 kutoka usawa wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
na David Frank, Arusha MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Arusha (UV-CCM), James Millya, ni miongoni mwa watakaohojiwa leo na Kamati ya Usalama na Maadili ya Mkoa kufuatia mgogoro...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wazee dr.slaa kesho atakuwepo mitaa ya skanska hall(sorry kama nimekosea spelling),tegeta road akizindua chadema students organisation(chaso) tawi la ardhi university! Usafiri utakuwepo chuoni...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
nafurahi sana ninaposikia mheshimiwa jk akiongea,............... msisitizo, mkazo na bashasha kuonesha anaweza ,vinashamiri katika hotuba zake. wenzako halmashauri ya lindi? (v) unakijua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahani kwa wale nitakao waboa kwa hii thread, bt hii ni imani yangu, ndio maono yangu. Niaminivyo mimi africa ipo ktk crisis kubwa sana hususan katika uongoz na utawala, hii inanifanya niamini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mi nahisia tuu hapa....!! Lakini tuchanganue kiukweli kabisa maaana mengi tunafichwa tuu... ANAKAMATA MILL >15.5M Anatudanganya anayo mill 25 benki wakati mshahara wa waziri mkuu ni mil 3.5...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
UGANDAN President Yoweri Museveni has described Mwalimu Julius Kambarage Nyerere as the greatest black man he had ever met, adding that he deserves to be made a saint by the Catholic Church. "I...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amedai kuwa amenasa barua za mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mabere Marando, akikana kuwaambia Watanzania kuwa yeye (Nnauye) alifaidika na fedha za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom