Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Egypt's former Finance Minister Youseff Boutros Ghali has been given a 30-year jail sentence over corruption charges, court sources said. The judges also ordered him to pay back 60m...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
May 30, 2011 Statement from Barrick Gold Corporation concerning the North Mara Mine, Tanzania INTRODUCTION Barrick Gold Corporation, and its affiliates and subsidiaries, operate in some of the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Pius Msekwa, amekutana na viongozi watatu wa chama hicho wanaotuhumiwa kwa ufisadi, katika utekelezaji wa uamuzi wa kujivua gamba uliofanywa na Mkutano wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari!! Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Tundu Lissu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Freeman Mbowe leo wamezungumza na vyombo vya habari kwenye Ofisi za Kambi ya Upinzani...
21 Reactions
262 Replies
20K Views
Na Muhibu Said 4th June 2011 Watangaza mgogoro wa kuingilia uhuru wa Bunge Polisi wadaiwa kuendesha upendeleo wa dhahiri Hoja ya mvutano wa Bunge na Mahakama yaibuka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, Wamasai ndio mfano wa kuigwa? Picha by Mtanzania, 3/2/11 Hapo yaani wameshajikwatua kwa ajili ya kwenda "out" kumwona daktari! Watanzania wengine wanavyoona Wamasai kama mfano wa kuigwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakati Tanzania inapata uhuru kulikuwa na msemo uliokuwa ukitumiwa na viongozi wa wakati huo kwamba "Ili tuendelee, tunahitaji Ardhi, Watu, Siasa Safi na Uongozi Bora". Kwa wakati ule walikuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JK Rais wangu sijui nani atakufikishia huu ujumbe.........!!!!!!!!unakumbuka maneno matamu ambayo ulikuwa unasema mbele ya wapigakula na wagonjwa wa hospitali yetu ....tunaiita ya taifa japo mie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
leo nimeshuhudia wakati igp anapita magari yote yamezuiwa kwanza barabarani ili kumpisha! Hii imekaaje?tumekaa kwenye foleni muda mrefu ili kumpisha.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mnaweza jionea wenyewe uyu mzee anatema nondo kumbe nguzo gharama yake ni 250000 wakatii tanesco wanatugonga milioni na ushee mbaya zaidi nguzo za mufindi pale! Ni mzee Mkinga kama kawaida yake...
0 Reactions
123 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe anatarajia kuongea na waandishi wa habari leo saa tano asubuhi jijini Dar es salaam kuzungumzia masuala mbalimbali ya chama...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Katika mjadala wa ITV unaoendelea leo saa 10.30pm kulikuwepo wachangiaji mbalimbali wakiongozwa na Chua kama mwenyekiti. Lakini Ghafla RENATUS MKINGA kapotezwa Ghafla na kuwekwa Jamaa wa uchumi...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Mkutano wa Nne wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaotazamiwa kuanza tarehe 7 Juni hadi tarehe 7 Septemba 2011. Posho na alawansi TSh (90,000 x 90) +(7 0,000 x 90) x (239)= ()...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
At Tanganyika's independence in 1961, the world was divided into two main blocks the Western, led by the USA and the Eastern block, led by the then USSR. Several developing countries tried to...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Dear JF readers, I heard yesterday evening and this morning on radios across the country people discussing the issue of sitting allowances. Hon Zitto put it straight that the saving from this...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Kila nikitafakari mchakato wa katiba mpya napata kigugumuzi kutokana na uchelewashwaji na umakini wa jambo husika, nikitaka kwenda mbele kwa kutumia nguvu nakutana na Bango linasema demokrasia ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba nisipewe jina la Shekhe Yahya au Pweza Paul,kwa vyovyote vile kwa mwenendo jinsi ulivyo kwa sasa, CCM wanawinda chini ya siasa za maji taka. Kila kundi linajipanga kwa 2015, Je CCM...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna taarifa toka vyombo vya habari vya kimataifa vinavyokariri upande wa upinzani wa utawala wa Yemen kuwa, rais Ali Abdalla Saleh ameuawa leo mchana huu! kama kuna mwenye taarifa zaidi atujuze...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya...
1 Reactions
78 Replies
6K Views
Vyombo mbalimbali vimekuwa vikiripoti vipaumbele vya bajeti ya mwaka mpya wa fedha. Suala ambalo limekuwa na mvuto zaidi ni kukatwa kwa posho za vikao kwa wabunge ambapo ni sehemu ya bajeti ya...
7 Reactions
55 Replies
4K Views
Back
Top Bottom