Bernard Mapalala
31 May 2011
interview
JAMES BRENNAN of the University of Illinois at Urbana in the United States did his PHD on the history of Dar es Salaam. He was in Tanzania for the first...
Binadamu wote ni Sawa
Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru
AHADI ZA WANACHAMA WA...
• Barabara, reli, umeme, madini, kuikomboa nchi
na Asha Bani
KAMBI ya Upinzani Bungeni imetoa vipaumbele sita vya mchanganuo wa bajeti mbadala watakayoiwasilisha katika Bunge la Bajeti...
Kenya Airways has reported a 73.9 per cent increase in its profits after tax for the financial year ended March 31.
The airline recorded an impressive Sh3.5 billion during the period, compared...
Haya! :pound:
Kwa hali ilivyo na mambo yanavyokwenda, kuna dalili zinazoonyesha baadhi ya Wanamagambas wanaelekea kulazimika kufikia maamuzi magumu, lakini ya lazima na ya makusudi kama vile...
In a democracy, political parties are supposed to be the instrument to finding solutions to political crises and other problems of the country. In the case of Tanzania, the political parties are...
Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya Richmond, Edward Lowassa, ambaye ni mmiliki wa jarida la UMOJA lenye ofisi zilizo maeneo ya Mikocheni anawafanyia unyama mkubwa...
tangau kipindi nakua miaka ya 1980 sikuwahi kujiuliza hasa udini ni nini kwani niliamini dini ni njia tu ya kutukutanisha na mwenyezi mungu kama kweli yupo. lakini sasa nashangaa kuona kuwa...
*Hati ya kukamatwa Slaa, Ndesamburo yafutwa
Na Said Njuki, Arusha
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha imeagiza tena Jeshi la Polisi kumkamata Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na...
NA MWANDISHI WETU, SUMBAWANGA
KATIBU wa NEC ya CCM, Itikati na Uenezi Nape Nnayue na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Nchemba Mwigulu, waliuteka mji wa Sumbawanga, baada ya mamia ya wananchi...
May 30, 8:31 pm
Former President Benjamin Mkapa
Former President Benjamin Mkapa has been appointed member of the newly formed group of Eminent Persons that will review new global economic...
Na Juddy Ngonyani,Sumbawanga
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kimeangalia upya njia ya kuwadhibiti wafanyabiashara wanaojiunga na chama hicho na kugombea nafasi mbalimbali za uongozi...
Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari,chama chao CCM na watu wengi wamekuwa wakiwazungumzia watu watatu ambao sasa wanajulikana kwa jina la mapacha watatu, wafukuzwe nafasi zao za uongozi na...
By Karl Lyimo
I SHUDDER to think what could be happening to Tanzanians today, who are so overwhelmingly trusting and accommodating, if the country had plunged headlong into fast-tracking East...
Mwenyekiti wa baraza la vijana la chadema (bavicha) atatumia mahafali ya wanachadema wanaohitimu chuo cha mtakatifu Agustino jijini mwanza kuzungumza na watanzania kupitia vyombo vya habari kesho...
Ilikuwa ni kizaazaa jana baada ya uvumi kuenea tena kuwa mabomu yatalipuka tena,lakini kwa bahati nzuri JW jana usiku wakakanusha kuwa hakuna mabom yatakayolipuka na wananchi watulie kwenye nyumba...
Ushauri wangu kwa CCM ni kwamba waache kujidanganya, bali washughulikie kero za wananchi. Kama wanadhani ujanja ujanja utamaliza tatizo la CCM kwa wananchi hii itakuwa ni ndoto kabisa. CCM...
Makahama mjini Arusha imetoa arrest warrant ili Mh. Freeman Mbowe akamatwe. Mbowe hakuwepo mahakamani na wala mdhamini wake hakuwepo. Ndesamburo kaponea chupuchupu kutokana na mdhamini wake...
UBUNGE: ni nafasi ya kisiasa ya uwakilishi wa wananchi. Wabunge hupatikana kwa njia ya kupigiwa kura na wananchi katika majimbo yao kwa ajili ya kuwawakilisha katika vyombo vya kutunga sheria kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.